amani golugwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kesi ya Uhaini: Amani Golugwa asema haoni uwezekano wa mtu mmoja kuitishia Serikali, kupanga na kutekeleza kosa la uhaini

    Mhe. Lissu: shahidi ulisema Jambo TV na Chanzo TV walirusha mkutano huo live, waeleze majaji kwa ufahamu wako uwepo wa hatua zozote za kuwafungulia Jambo TV na Chanzo TV mashtaka ya kuwezesha uhaini Golugwa: kwa ufaham wangu sijasikia wala sijaona hatua zozote dhidi ya waandishi wa habari wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Heche na Golugwa wamtembelea mjane wa Suez Tarime

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Mheshimiwa John Heche, pamoja na Naibu Katibu Mkuu Bara, Mheshimiwa Amani Golugwa, leo Jumatano, Julai 8, 2026, walifika nyumbani kwa marehemu Suez Dani Maradufu kumjulia hali mke wa marehemu, muda mfupi kabla ya Mheshimiwa Golugwa kuanza safari ya kuondoka...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Amani Golugwa: Tunaenda kuiondoa CCM madarakani kidemokrasia

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema kazi kubwa iliyopo mbele yake kwa sasa ni kupambana kuiondoa CCM (Chama Tawala Nchini Tanzania) madarakani kwa njia ya kidemokrasia Kauli hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Tanzania Bara Amani Golugwa wakati akizungumza na...
  4. JamiiForums Tanzania Golugwa: Nilimpigia simu Mafwele akaniambia, Djumbe (Msaidizi wa Lissu) yuko hapo amefungwa pingu! Nikamuuliza umejuaje amefungwa pingu?

    Wakuu, Alichokisema Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Amani Golugwa leo wakati akizungumza kuhusu tukio la jaribio la utekaji la Msaidizi wa Utekaji David Djumbe: "Wakati ninaendelea na mazungumzo nao, nikampigia Afande ZCO, Afande Mafwele, ambaye nilimtafuta usiku kucha nilikuwa simpati. Nikampata...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Amani Golugwa: Mwigulu anapotosha. Suala la Katiba halikuletwa ndani ya miezi 3

    Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Bara, Amani Golugwa, amemtaka Dkt. Mwigulu Nchemba kuacha kupotosha umma kuhusu madai ya msingi ya wananchi juu ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Amesema madai hayo hayakuibuka ndani ya miezi mitatu kuelekea uchaguzi mkuu, bali yalianza muda mrefu uliopita...
  6. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Amani Golugwa: Serikali imeshindwa kujibu kuhusu kaburi la halaiki, twendeni na kamera, greda tukachimbe

    Naibu Katibu Mkuu, Amani Golugwa, amesema serikali kupitia kwa Msemaji wa Serikali imeshindwa kujibu tuhuma zilizotolewa na CNN kuhusu uwepo wa makaburi ya halaiki. Amesema kama kuna uwezekano, waende kwa kutumia kamera na greda wakafukue maeneo yanayotajwa ili kupata ukweli wa suala hilo...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Amani Golugwa: Serikali ilipaswa kuzungumza kuhusu watu badala ya uharibifu wa miundombinu kama vituo vya Polisi

    Naibu Katibu Mkuu, Amani Golugwa, amesema kauli ya Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba kuhusu idadi ya watu waliopoteza maisha katika maandamano ya Oktoba 29 ni ya kubeza maumivu ya familia zilizofiwa. Amesema kuwa katika kipindi hiki serikali ilipaswa kujikita zaidi kwenye mazungumzo kuhusu watu...
  8. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Golugwa: Kauli za Mwigulu zinaashiria serikali haipo tayari kuchukua hatua wala kukiri juu ya UTEKAJI

    Akizungumza leo Novemba 27, 2025 Naibu Katibu Mkuu Bara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Amani Golugwa amerejelea Mkutano wa Wazirir Mkuu Dkt. Mwigulu na wahariri wa Vyombo vya Habari iliyofanyika Novemba 25 akitoa ufafanuzi juu ya swali kwamb kwa nini Serikali haijatoa idadi vifo vya...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Golugwa akamatwa na jeshi la polisi nyumbani kwake Dar

    AMANI Golugwa, Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) bara, amekamatwa na jeshi la polisi, akiwa nyumbani kwake jijini Dar es Salaam. ikumbukwe kuwa jeshi la polisi hapo jana lilitangaza msako wa kuwatafuta viongozi wa chama hicho. Pia Soma: Polisi: Gwajima, Golugwa...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Golugwa: Pamoja na kumpoteza Nyalusi, CHADEMA itaendelea kupigania haki na ukombozi wa taifa

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, amesema kuwa chama hicho kitaendelea kupigania haki na ukombozi wa taifa licha ya changamoto mbalimbali zinaoendelea nchini . Kauli hiyo ameitoa wakati akishiriki mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA...
  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Amani Golugwa: Siku tukiwatoa Madarakani CCM, Chama kitakufa, wamezoea wanabebwa na dola

    "Siku tukiwatoa Madarakani CCM kwa jina la Mungu muumba wa majeshi hiki chama kitakufa kwa sababu wamelegealegea, wamezoea utepeutepe, wanabebwabebwa na dola, siku tukiwatoa na jinsi tulivyo na hasira kuijenga taifa hili, jinsi tulivyo na akili ya kutumia rasilimali za taifa hili itatuchukua...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Amani Golugwa: Tumemuandikia barua mkuu wa majeshi alisaidie taifa pawepo na uchunguzi ili taifa lijiridhishe tuhuma mfumo wa uchaguzi uliongiliwa

    Akizungumza kupita Global TV Naibu katibu mkuu wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA Amani Golugwa amesema wamemuandikia barua mkuu wa majeshi nchini kumkumbusha kauli ya ya baba wa taifa kuhusu wajibu wa jeshi la wananchi kulinda katiba na mfumo wa vyama vingi. "Tumemuandikia barua mkuu...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Golugwa: Mikutano ya hadhara ilitupa ushahidi jinsi ambavyo nchi hii inahitaji reforms kwenye mifumo ya uchaguzi

    Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Amani Golugwa, amesema chama hicho kilifanya mashauriano ya kina na makundi mbalimbali ya kijamii kabla ya kuanza kampeni za mikutano ya hadhara ya viongozi wake wakuu, na matokeo yake yameonesha uungwaji mkono mkubwa...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Amani Golugwa: Injinia Hersi ananung’unikiwa na Wanayanga na WanaCCM

    "Injinia Hersi Said ametuthibitishia kwamba ni mfanyakazi wa GSM na wakati huohuo ni Rais wa klabu ya Yanga... a conflict of interest (Mgongano wa kimaslahi). Inapotokea kwamba wewe ni kiongozi wa klabu, halafu wewe pia ni sehemu ya watumishi wa kampuni inayodhamini hiyo klabu. Inapotokea...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Amani Golugwa: CHADEMA hatujanuniana na Mbowe, faragha yake iheshimiwe

    Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA – Tanzania Bara, Amani Golugwa, amefunguka kuhusu ukimya wa hivi karibuni kati ya chama na Mwenyekiti Mstaafu Freeman Mbowe, akisisitiza kuwa hakuna ugomvi wala kununiana.
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Amani Golugwa: Mbowe anawajibu wa kuzungumza na hatakiwa kuukwepa kabisa, Watanzania wanamshangaa!

    Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) – Tanzania Bara, Amani Golugwa ameweka sawa kuhusiana na ukimya mzito wa mwenyekiti mstaafu wa chama chao Freeman Mbowe.
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amani Golugwa aachiwa kwa dhamana, Viongozi wengine waachiwa pia na kutakiwa kuripoti polisi kesho

    Wakili msomi Dickson Matata kwa kushirikiana na jopo la mawakili wa CHADEMA, wamefanikiwa kupigania haki ya dhamana kwa Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa, ambaye alikamatwa usiku wa kuamkia leo Mei 13, 2025 katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) na kushikiliwa katika...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wadhamini waliofika Polisi kumdhamini Golugwa wakamatwa

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa wadhamini waliokwenda katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumdhamini Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa, wamekamatwa na Jeshi la Polisi wakiwa kituoni hapo. Taarifa ya chama hicho imeeleza kuwa waliokamatwa...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi wasema wamemkamata Golugwa kutokana na taarifa za siri kuwa anasafiri bila kufuata sheria!

    Wakuu, Ila Polisi :BearLaugh: :BearLaugh: mpaka hata ni fezea kuanza kuwajibu! Hivi wanajiskiaje wakiandika huu upuuzi? Uhamiaji wako wapi kufanya kazi yao? Na kipindi chote hiko walikuwa hawaoni kama anashida kwenye documents zake? Asee Jeshi la Polisi sasa limekuwa kama tambara kwa...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA: Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa amekamatwa na Jeshi la Polisi usiku wa leo. Inadaiwa amepigwa sana

    Wakuu, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetoa taarifa ya kukamatwa kwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho upande wa Bara, Mhe. Amani Golugwa, usiku wa kuamkia Jumanne, Mei 13, 2025, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam. Pia Soma: Jeshi la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…