Kwenye hii "Clip" hapa chini Ali Hapi alionekana kuwakemea "wastaafu" aliodai wakati ule kuwa walikuwa wanamkwamisha Rais John Magufuli kwenye juhudi zake za kuijenga Tanzania.
Ukiisiliza clip hiyo zaidi ya utofauti wa nyakati, utofauti wa maneno ya Ali Hapi wakati ule na maneno ya Humphrey...