Al Masry Sporting Club (Arabic: النادي المصري للألعاب الرياضية) is an Egyptian sports club based in Port Said, Egypt. The club is mainly known for its professional football team that competes in the Egyptian Premier League, the highest tier of the Egyptian football league system.
Al Masry has never won the league, but won their one Egyptian Cup in 1998. The club used to play their home matches at the Port Said Stadium, with a capacity of 17,988.
Mechi ya Maamuzi hii baada ya kipigo cha bao 2-0 ugenini mkondo wa kwanza.
Mnyama Simba SC dhidi ya Al Masry SC mechi ya mkondo wa pili ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika.
⏰ Mchezo huu unapigwa saa 10:00 Jioni
🏟️ Uwanja wa Mkapa
Vikosi vya timu zote tayari zimetoka
Mechi imeanza (Kick...
Wanajamvi, ikumbukwe hapo jana kuna clip ilikuwa inatembea kwenye mitandao ya kijamii ilionyesha wazee wa klabu ya Simba wakilalama kutokuwa na imani na meneja wa uwanja. Wakimtaka akae pembeni mpaka mechi yao itakapo kwisha.
Ukweli ni kwamba toka jana meneja ameamua kukaa pembeni na kuwaachia...
Leo katika timu zinazopambana kesho kati ya Simba na hao waarabu wanajiitaje sijui Sasa wakati wanakuja wakakataa kupita mlango official ambao kila mtu anatakiwa kupita
Wao wakaenda kupita mlango mwingine, wakakutana na askari, ila askari wamewazuia ila nashangaa Bado wakapita hapo mlango usio...
Kwa Mkapa sio eneo tena la ufalme wa Simba kwa sasa. Ukifuatilia vizuri hivi karibuni amekuwa akipata matokeo kwa mbinde sana akiwa kwa Mkapa.
Nakumbuka Kirumba Mwanza meneja alikuwa mzee Tegete.Simba aliteseka sana na timu za Mwanza hata akina Mbao FC walimtesa sana.Alipata ushindi kwa mbinde...
"Kuna Wachezaji wengi wamekuja tumewaombea Mungu amewasaidia wanakwenda Vuzuri naimani hata Simba watafanya Vizuri, Wachezaji wakazane Kufanya mazoezi na Sisi tutakazana kuwaombea
Nakuletea Utabiri Ambao Nitauchambua kwa kutumia number vibration (Numerology) na Pia Some of the astrological Effects Za siku hiyo..
Ambavyo Vyote vinaonyesha Simba Anaweza Kufuzu Aidha kwa Matuta au Atafunga ns Kusawazisha Agg.. kuwa 2:2
Haya Tuangalie..
Numerology Analysis
Tarehe ya...
Ndio hivyo wakuu nimesema kwamba hio tarehe tajwa hapo juu ikitokea Simba Sc akamfunga Al Masry goli hata 1 tu ndio namaanisha goli hata 1 tu yaan hata mechi ikiisha 1-1 Mods nipigwe ban ya muda mrefu usuopungua siku 3.
Kifupi tu tarehe tajwa hapo juu Simba Sc hatofunga hata goli 1 namaanisha...
Rastaman Denis Kibu,
Mwanangu nakukubali sana na mimi ni mmoja wa watu ambao nimekuwa nakutetea sana mitandaoni na hata mtaani.
Ebwana mwanangu nakubali sana uwezo wako wa upambanaji na nguvu ulionao. Hizi ni silaha zako kuu na usiziache kamwe.
Nakushauri mambo matatu ya kuacha au kubadilisha...
Mpira ni TECHNICO kama kwenye Vita.
SSC ameingia uwanjani with bad technic , kitendo cha kufunguka pale MISRI na kujizolea possession ya 59% ….. ni failure ya technique na kumdharau adui. Hakuna timu iliyofungwà zaidi ya goli moja except SSC. Ni kama kocha hana expérience na Hii michuano. Ni...
Leo tumeshuhudia mechi nzuri ya kiufundi huku Simba alipigwa goli 2 bila kwenye mashindano ya shirikisho
1. Kuchezesha goal keeper Mousa Camara.
Simba ina walinda mlango 4. Kwanini coach Fadlu ame opt kmtumia Camara ambaye alikuwa na majeraha, angekuwa timamu asingefungwa magoli mepesi
2...
sijaua kama ni fitness ndio inakosekana kwa wachezaji yaani ule uchapu nani kafungua,imekaaje kaaje nipige au niendelee kusukuma kwenda mbele na sio umeona tu lango na kupiga matokeo yake inakuja ile kauli ya "vijana wamepamba hatuna cha...
Mnyama Simba SC anaanzia ugenini Misri kwa kuvaana na Al Masry SC katika mechi ya mkondo wa kwanza ya Robo Fainali ya Shirikisho Afrika.
Mchezo huu unapigwa saa 1:00 usiku
🏟️ New Suez Stadium
Kaa karibu kwa Live updates
Vikosi vya timu zote (Team news)
Mechi imeanza
4' Mashambulizi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.