ajira za utumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. QasraNet

    Ajira Portal System Error

    Nafanyaje chuo changu nilichosomea Diploma hakionekani Ajira Portal Mpya. Chuo ni Al Maktoum College of Engineering and Technology (AMCET) - Registered by NACTE as REG/EOS/039 (Full Registration) kipo Mbezi Beach. 1. Nimejaribu kupiga chuoni: Wanasema shida sio yao ni ya Ajira Portal. 2...
  2. B

    Ajira za Utumishi

    Ninaomba msaada wadau ninapoandika barua ya maombi utumishi address yao lazima iandikwe kwa Secretary, PSRS?
  3. T

    Mliofanya interview ajira za utumishi, ni kweli hawataki vyeti vyenye majina matatu tu?

    Habari wana JF, Hivi ni kweli utumishi wanataka cheti chenye majina matatu? Na je sisi ambao vyeti vya taaluma vina Initial tu pale jina la kati kati inakuwaje? Je, sisi wenye vyeti vya taaluma vyenye jina la kati kati Initial pekee inatakiwa tufanyaje?
Back
Top Bottom