Habari za usiku wapendwa me kijana wa miaka 26
Nmesoma mambo ya udereva Nina class A, A2, B, D, E
Elim yangu Kidato Cha 4
Uzoefu wa miaka 5
Pia nmefanya kazi kampuni tofaut tofaut pia vyeti vya utumish ninavyo
Nahitaji kampunii au taasisi au kiongozi kikubwa mkono uende kinywanii napatikana...