ajira qatar

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Qatar imetoa nafasi 300 za madereva wa Tanzania wakapelekwa 75 wakashindwa interview. Serikali muwe mnatangaza hizo nafasi wapatikane watu sahihi

    Qatar imetoa nafasi 300 za madereva wa Tanzania kuajiriwa wakapelekwa 75 tu wakashindwa interview. Serikali muwe mnatangaza hizo nafasi wapatikane watu sahihi Mambo ya kupelekana kimya kimya sio mazuri ona sasa aibu nchi inapata.Tangazeni nafasi kuwa wanatakiwa madereva wa aina gani sio...
  2. C

    Udereva Dubai na Qatar

    Samahani Wana JF kwa walio na taarifa au walioko huko uarabuni Nataka nikasome driving ili niombee kazi huko Sasa naomba kuuliza ni madereva gani wanahitajika kama ni taxi au maloro naomba ufafanuzi NB : Sijui chochote kuhusu udereva kama nimekosea mtanisahihisha, kejeli zinaruhusiwa.
  3. Jamii Opportunities

    Business Services Coordinator at Qatar Airways

    Position: Business Services Coordinator Term: Temporary Contract Key Accountabilities Able to follow and understand local payroll practice, processes, requirements, local labor law changes all in cooperation with outsourced consultant Assist in verifying all commercial support related invoices...
Back
Top Bottom