ajali ya lori

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Lori laanguka Morogoro, wananchi wakimbilia kuchota mafuta

    Lori la mafuta (ambayo bado hayajathibitishwa kuwa ya aina gani) ambalo limeelezwa kuwa lilikuwa likitokea Dar es Salaam kwenda Morogoro limepinduka eneo la kijiji cha Mwidu mkoani Morogoro huku wananchi wakionekana kubebelea madumu kwa ajili ya kuchota mafuta hayo.
  2. A

    JamiiForums Tanzania Ajali ya lori Kimara itufungue macho Watanzania

    Niliwahi kuandika hapa JamiiForums juu hatari ya biashara kandokando ya barabara kuwa kuna siku gari likosa mwelekeo leo limetokea. Tunaposema wananchi wa kawaida huwa ni kama vile kelele. Lakini hili viongozi waamke, angalau makala alijitahidi lakini sana ukiwa Kariakoo, Mabibo Sokoni, Mbezi...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Polisi afariki dunia kwa kugongwa na lori akiwa kwenye pikipiki

    Askari polisi wa Kituo cha Kibaya wilayani Kiteto Mkoa wa Manyara, Geogre Mwakambonjo (40) amefariki dunia baada ya kugongwa na lori alipokuwa amepanda kwenye pikipiki. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Kamishna Msaidizi Mwandamizi (SACP) Ahmed Makarani amesema tukio hilo limetokea leo...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Video: Lori la mafuta lapata ajali Songwe. Wananchi hawajifunzi, wahangaika kujichotea mafuta ya bure

    Wakuu, Kwenye hii video huyu ni dereva wa hili lori akirekodi tukio zima kwa ajili ya kumuonesha bosi wake. Ni hasara. Kilichonisikitisha zaidi ni kuona kuna watu wanachota mafuta hapo wakisahau kabisa kuwa hilo gari likilipuka ni hatari sana kwao. Watu wana confidence sana kwa kweli...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Manyara: Watu wanne, wafariki dunia, wakiwemo wanafunzi watatu na dereva katika ajali iliyohusisha Coaster na Scania

    Watu wanne wamefariki dunia wakiwemo Wanafunzi watatu na Dereva mmoja katika ajali iliyohusisha magari mawili ikiwemo Coaster na gari la mizigo aina ya Scania. Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo August 31,2024 katika eneo la Gajal Babati Mkoani Manyara ambapo Coaster ilikuwa imebeba Wanafunzi...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kupunguza ajali za malori ya masafa marefu zinazosababishwa na uchovu mwingi kwa madereva?

    Wakuu salam, Ajali nyingi zinatokea zikihusisha malori kama umechunguza mara nyingi huwa ni sababu dereva alisinzia kutokana na uchovu mwingi wa kuendesha muda mrefu bila kupumzika au anakuwa ametumia vilevi, na mbaya zaidi anakuwa peke yake. Licha ya sheria kuwataka kuwa madereva wawili ili...
Back
Top Bottom