Rais Samia Suluhu Hassan ametoa pole kwa familia za watu 12 waliofariki dunia katika ajali iliyohusisha gari la Jeshi la Polisi na lori.
Ajali hiyo imetokea saa 1:30 asubuhi ya leo Jumatatu, Septemba 21, 2026 eneo la Mlima Sekenke, Kijiji cha Misigiri, Kata ya Ulemo, Wilaya ya Iramba, kwenye...
Askari na mahabusu wanadaiwa kufariki dunia baada ya gari la polisi walilokuwa wakisafiria kugongwa na lori la mizigo katika eneo la Mlima Sekenke, Wilaya ya Iramba mkoani Singida.
Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Suleiman Mwenda, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo iliyotokea leo majira ya saa 2:00...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.