Kuna taarifa kwamba kwa mara nyingine tena ajali mbaya imetokea jana mteremko wa Mbalizi, Mbeya, na inasemekana watu 28 wamekufa kwa ajali iliyosababishwa na kugongwa na kukandamzwa na gari kubwa ya mizigo.
NImejiuliza sana. Watu wa Mbeya wanajulikana kwa kuwa makini katika kutofanyiwa utani...
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Mhandisi Maryprisca Mahundi amewatembelea majeruhi wa ajali iliyohusisha basi la CRN na Gari la miundombinu ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya iliyosababisha vifo vya watu wanne na majeruhi watano.
Miongoni mwa majeruhi waliotembelewa...
Jana, Februari 25, 2025, tukio la kusikitisha lilitokea wilayani Mbeya ambapo waandishi wa habari wa kujitegemea walifariki papo hapo baada ya gari la serikali walilokuwa wakisafiria kugongana uso kwa uso na basi la Kampuni ya CRN.
Tukio hili limeibua maswali mengi kuhusu usalama wa waandishi...
Watu watatu wamefariki dunia akiwamo mwandishi wa habari wa kujitegemea mkoani Mbeya, Furaha Simchimba katika ajali iliyotokea mkoani humo ikihusisha basi la Kampuni ya CRN na gari la Serikali.
Ajali hiyo imetokea leo Jumanne Februari 25, 2025 katika eneo la Shamwengo wilayani Mbeya ambapo...
Watu kadhaa ambao idadi na majina yao hayajajulikana wanahofiwa kufariki dunia baada ya ajali iliyohusisha magari matano, bajaji nne na pikipiki moja eneo la Mbembela jijini Mbeya.
Ajali hiyo imetokea leo Novemba 27, 2024 ambapo mpaka sasa vyombo vya ulinzi na usalama na uokozi tayari vimefika...
Jeshi la Polisi limesema ajali iliyotokea Mbeya Septemba 6, 2024 ilisababishwa na uzembe wa Dereva, Hamduni Nassoro Salum (37) kushindwa kulimudu Gari lake kwenye eneo lenye mteremko na kona kali kutokana na Uchunguzi wa awali uliofanyika
Kulingana na ripoti ya polisi iliyotolewa Septemba 6...
Katika mkoa wa Mbeya, kumekuwa na ongezeko la vifo vinavyotokana na ajali za barabarani. Hali hii imekuwa ya kusikitisha na inahitaji hatua za haraka ili kuokoa maisha ya wananchi.
Katika ripoti hii, tunachambua sababu za ajali, athari zake, na mapendekezo ya jinsi ya kuboresha usalama...
Jana tumepoteza watu 14 katika ajali iliyohusisha roli na magari mengine likiwemo basi la abiria mteremko wa Simike Mbeya. Kinachonisikitisha ni kwamba eneo hili lina askari wa usalama barabarani ambao badala ya kuongoza magari kutokana na hatari ya eneo hilo wao muda wote wako busy kukagua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.