aishi manula

Aishi Manula (born 13 September 1995) is a Tanzanian football player. He plays as a goalkeeper of the Tanzanian national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Nashauri kama itawezekana na itawapendeza Wahusika naomba leo Kipa awe Aishi Manula kwani naona upo uwezekano wa kwenda katika Penati

    Namkubali na Namheshimu Kipa anayedaka sasa, ila kwa Ujuzi wangu nina Mashaka nae tu hasa katika Penati zikitokea.
  2. bro alex

    Mtoto wa Aishi Manula ni mkubwa sana yani Manula angesema ni mke wake nisinge kataa, respect sana

    Huyu BINTI inasemekana ni mtoto WA Aishi manual asee mboga safi kabisa respect to you 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏manula sipunde UNAENDA kuitwa Babu Kwishaaaaaa
  3. DuaZaMama

    Aishi Manula arejea Azam FC

    Golikipa wa timu ya taifa ya Tanzania taifa stars zamani Simba Sc Amejiunga na timu yake ya Zamani Azam FC Kwa mkataba wa miaka 3, Aisha anaondoka Simba baada ya kukosa namba mbele ya Spider man Mousa Pinpin Camara. Je? Manula anaweza kurejea kwenye ubora wake.
  4. W

    Kwa alichofanyiwa jana Camara lazima alipe kisasi cha maumivu, Manula aanze kupangwa japo na yeye ana kisasai cha kimya

    ule uhuni aliofanyiwa jana huku mashabiki na viongozi wakiwa upande wa Ngoma umemkasirisha Camara ndio maana hakuweza hata kuvaa jezi wakati wa kupokea medali, na hata lile goli alilofungwa ni kisasi, ni stage aliyofikia kuwa tayari na lolote hata angetimuliwa baada ya mechi. Moyoni mwake bado...
  5. mdukuzi

    Aishi Manula asingeweza kuifikisha Simba fainali

    Aliyekuwa akituchelewesha ni Aishi Manula kumbe Thank You
  6. Z

    Simba imuomba msamaha Aishi Manula na mrudishe Golini.

    Jana kilo kapigwa mbili bila ukitazama magoli yote kachomesha golikipa wao wanayemuona namba moja pon pon camera ambaye kiuwezo hamfikii hata robo Aishi Manula. Magoli yote yale huwezi kumfunga Manula. Wanachotaka kufanya Simba ni kumuomba msamaha Manula na kumrudishia namba moja kwenye first...
  7. K

    Kufuatia matokeo dhidi ya Al Masry SC, ni vema tukamrudisha Aishi Manula kuwa kipa wa kudumu

    Jana Klabu ya Simba imecheza na Klabu ya Al Mastry na kufungwa magoli mawili kwa bila. Binafsi kama mpenzi wa Simba yale magoli yaliyofungwa kama Manula ndiye angekuwa kipa jana tusingefungwa yale magoli. Bado Manula anamzidi Camara kwa ustadi wa kulinda mipira ya hatari. Sasa ni wakati...
  8. Chizi Maarifa

    Simba msamehe Manula naye ni binadamu sawa alikengeuka lakini msameheni

    Najua bado mnaumia kwa wale wachezaji wenu kushirikiana nasi. Manula ni binadamu msimpe adhabu kubwa hivi. Ni tamaa tu ambazo binadamu wanakuwa nazo lakini msiue kipaji chake cha mpira please.
  9. Waufukweni

    PICHA: Kipa wa Simba, Aishi Manula arejea kikosini. Afanya mazoezi kuelekea mechi ya Shirikisho

    Air Manula mazoezini kujiandaa na mechi ya Kombe la Shirikisho la CRDB Machi 27 na Big Man FC (zamani Mwadui FC). Mechi hiyo ya Kufuzu robo fainali CRDB Bank Federation Cup, Mnyama Simba SC atakuwa KMC Stadium majira ya saa 10:00 Jioni kukipiga na Bigman.
  10. mdukuzi

    Ya Aishi Manula kumkuta Chasambi ,hauzwi ila hatapangwa hata mechi moja wala reserve

    Aliwahi kusema Simba hakuna role model wake na role model wake ni Max Nzegeli Sasa Nzegeli anatua msimbazi na Chasamvi anatua benchini mpaka mkataba wake huishe, Sio kwajishuti lile
  11. Waufukweni

    SI KWELI Aishi Manula: Siumwi chochote, ila wao ndio wanajua nini kinaendelea

    Baada ya jana Klabu ya Simba kutoa taarifa kuwa mlinda mlango wao, Aishi Manula alishindwa kusafiri kuelekea Algeria baada ya kupata hitilafu ya kiafya dakika chache kabla ya kuondoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Haya ndio majibu ya Tanzania One "Siumwi chochote, ila wao...
  12. Waufukweni

    Aishi Manula augua ghafla Uwanja wa Ndege dakika chache kabla ya safari ya Algeria

    Wakuu Mlinda Mlango Aishi Manula sio sehemu ya kikosi kilichoelekea Algeria baada ya changamoto ya Kiafya akiwa Airport == Klabu ya Simba imetoa taatifa kuwa mlinda mlango Aishi Manula alishindwa kusafiri kuelekea Algeria baada ya kupata hitilafu ya kiafya dakika chache kabla ya kuondoka...
  13. kalisheshe

    Record ya kipekee kwa timu ya Simba Sc, Camara kipa wa Simba anadaka first eleven ya Guinea na Manula kipa wa Simba anadaka first eleven ya Stars

    Itachukua muda kwa hii record kufikiwa na vilabu vingine vya Tanzania Tusisahau pia Manura kaingia kwenye kikosi cha Tz kuchukua nafasi ya A. Salim (kipa wa Simba) ambae alikua akidaka first eleven.
  14. GENTAMYCINE

    Golikipa Aishi Manula ukipewa au ukielekezewa Mic Kuzungumza jifunze Kuzungumza kwa ufupi na vya maana tupu sawa?

    Sijui kwanini ukielekezewa tu Mic na Waandishi wa Habari jambo la kusema Sekunde 45 utalisemea dakika 17 Unaboa.
  15. Waufukweni

    Ally Salim atemwa, Aishi Manula arejeshwa kikosini Taifa Stars

    Mlinda mlango wa Simba SC Aishi Manula amejumuishwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi za kuwania kufuzu CHAN 2025 baada ya kukaa nje ya kikosi hiko tangu Machi 2024 Tanzania itaikabili Sudan ugenini Octoba 27 2024 huku mechi ya marudiano itapigwa Benjamini Mkapa Novemba 3 2024...
  16. L

    Wanasimba wenzangu naomba tuwe na shukurani,Manula aheshimiwe

    Hongera sana Simba,timu ya mfano Tanzania na Africa mashariki. Timu wa kipimo Cha timu nyingine, Timu waanzilishi wengine wanafuata,Timu bunifu,wengine wanafuata, Timu yenye hadhi inayolipatiaga taifa heshima. Nawaomba sana tumpe heshima Aishi Manula Aishi Manula ameitoa Simba mbali sana. Huyu...
  17. Tajiri Tanzanite

    Uwepo wa Manula Simba sc inatengeneza mazingira magumu ya ufanyaji kazi kwa Camara

    Hapo vip! Ukweli ni kwamba usaliti ni tabia na tabia ni kama ngozi, Simba sc wanatatizo kubwa sana kwenye uongozi, kitendo cha kutompa mkono wa Thank you Manula mpaka sasa ni ishara wa uwepo wa uongozi dhaifu na wakutojitambua kwenye club ya Simba. Manula kuna tuhuma za usaliti dhidi ya club...
  18. GENTAMYCINE

    Nawaonya Uongozi wa Simba SC Aishi Manula karejea kambini kwa shingo upande, hivyo msimuamini kabisa kwa Kumpanga kwani atatuumiza pakubwa

    Ndani ya Miezi miwili kwa Makusudi, kwa Jeuri na Dharau zake aliamua Kuwazimia Simu Viongozi wa Simba SC kila walipomtaka ili wazungumze Mkataba wake. Baada ya kuona Viongozi wa Simba SC nao kumuonyesha Ubaya Ubwela kwa Kutopokea Simu zake na kwa Umafia kumkatalia kwenda kwa Mkopo Azam FC ndiyo...
  19. kavulata

    Manula ameivunja ndoa ya Simba na Azam Sheikh akiwa Yanga

    Simba na Azam ni marafiki wakubwa, wanapeana hadi wachezaji kilaini kabisa. Lakini baada ya goli 5-1 dhidi ya Yanga (sheikh) Simba ikamsukumia zigo lote la lawama Manula. Manula alitaka kutimkia Azam lakini Simba wakamwekea ngumu kwakuwa Inafahamika kuwa Simba iliumia sana kunyang'anywa na Azam...
  20. GENTAMYCINE

    Yanga SC mbona Kimya si tayari Simba SC tumeshawaachieni mliyekuwa mnamtumia Kutuumiza Kipa Aishi Manula, mtamtangaza lini Kumchukua awasaidieni?

    Kudadadeki unachezea Simba SC Wewe wakiamua lao. Si alikuwa anadhania tunatania? Kabipu Watu wamempigia.
Back
Top Bottom