"Katika nchi hii sasa hivi mafisadi sio wanapiga kidogo wanapiga kiuhakika ni walaji na ni walafi na wanafanya vitu kama vile wananchi wa sasa hivi hawana elimu, lazima tufahamu sasa hivi ukienda sehemu yoyote hata kama ni kwenye kijiwe cha bodaboda utamkuta mtu wa chuo kikuu, utamkuta wa 'form...
Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Gairo Ahmed Shabiby amefanya kampeni za kuomba kura kwa kutumia helikopta ambapo amehaidi kuendelea kuboresha sekta ya kilimo cha umwagiliaji. Akiwa katika kampeni zake Shabiby amesema kuwa atahakikisha wananchi wananufaika na kilimo cha...
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Gairo kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ahmed Shabiby ameaminiwa tena na chama chake kupeperusha bendera kwenye mbio za ubunge wa jimbo hilo kwa mwaka 2025-2030.
Akitangaza majina ya waliyoteuliwa kugombea ubunge katika Mkoa wa Morogoro kupitia CCM, aliyekuwa...
Mbunge wa Jimbo la Gairo Mkoani Morogoro Ahmed Shabiby ambaye anamaliza muda wake amechukua fomu ya kuwania Ubunge katika Jimbo la Gairo.
Shabiby ambaye ndiye aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo amechukua fomu mapema leo Juni 28.
Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu...
Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby ambaye ni kaka wa mfanyabiashara Meleikh Online Shabiby alivamia sherehe ya wafanyakazi wa Mdogo wake Meleikh Shabiby na akapata nafasi ya kuzungumza na wafanyakazi ambapo aliwasisitiza kufanya kazi kwa weledi na bidii na akatoa ahadi kuwa ipo siku atakuja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.