agnes marwa

Agnes Mathew Marwa (born December 24, 1978) is a Tanzanian politician and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. She was elected MP to fill in the Special Seats position in 2015.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Agnes Marwa awakumbuka wafungwa gereza la Musoma Mjini

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Agnes Marwa, ametembelea Gereza la Musoma Mjini na kutoa misaada mbalimbali kwa wafungwa wa dini ya Kiislamu na Kikristo ikiwa ni sehemu ya kuwaunga mkono katika kipindi cha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na Kwaresma. Katika ziara hiyo, Mbunge Marwa...
  2. H

    Agnes Marwa awakumbuka wafungwa gereza la Musoma Mjini

    AGNES MARWA AWAKUMBUKA WAFUNGWA GEREZA LA MUSOMA MJINI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Agnes Marwa, ametembelea Gereza la Musoma Mjini na kutoa misaada mbalimbali kwa wafungwa wa dini ya Kiislamu na Kikristo ikiwa ni sehemu ya kuwaunga mkono katika kipindi cha mfungo wa Mwezi Mtukufu wa...
  3. H

    Agnes Marwa atoa tuzo kwa shule za sekondari zilizofanya vizuri manispaa ya Musoma

    AGNES MARWA ATOA TUZO KWA SHULE ZA SEKONDARI ZILIZOFANYA VIZURI MANISPAA YA MUSOMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Agnes Marwa, leo tarehe 18 Februari, 2026 ametoa tuzo na zawadi maalum kwa shule za sekondari zilizofanya vizuri katika Manispaa ya Musoma, ikiwa ni hatua ya kutambua na...
  4. H

    Agnes Marwa atoa tuzo kwa shule za sekondari zilizofanya vizuri Manispaa ya Musoma

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Agnes Marwa, leo tarehe 18 Februari, 2026 ametoa tuzo na zawadi maalum kwa shule za sekondari zilizofanya vizuri katika Manispaa ya Musoma, ikiwa ni hatua ya kutambua na kuhamasisha ubora wa elimu mkoani humo. Katika hafla hiyo iliyofanyika ndani ya Manispaa...
  5. H

    Mbunge Agnes Marwa atoa sadaka maalum kuunga mkono maandalizi ya mwezi mtukufu wa Ramadhani

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Agnes Marwa, leo tarehe 16 Februari, 2026 ametoa sadaka maalum kwa viongozi wa dini ya Kiislamu katika Misikiti tofauti ya Musoma Mjini ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono maandalizi ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani. Sadaka hiyo imelenga kuwasaidia viongozi wa dini...
  6. H

    Je, Serikali ina mpango gani wa haraka kuwatengea wananchi maeneo ya kulishia wanyama haswa wananchi wa mkoa wa Mara ?

    Je, Serikali ina mpango gani wa haraka kuwatengea wananchi maeneo ya kulishia wanyama haswa wananchi wa mkoa wa Mara ? - Mhe. Agnes Marwa. Siku ya kwanza ya Bunge la 13, tarehe 27 Januari 2026 Mhe. Agnes Marwa amesimama kidete kuihoji Serikali kuhusu hatima ya wafugaji wa Kata ya Nyantwari...
  7. Ojuolegbha

    PostGE2025 Agnes Marwa awaasa wazazi kusema na vijana wao

    AGNES MARWA AWAHASA WAZAZI KUSEMA NA VIJANA WAO Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Agnes Mathew Marwa, ametoa wito kwa wazazi nchini kuchukua jukumu la moja kwa moja katika kuwaelekeza na kuzungumza na watoto wao, hususan vijana, kuhusu umuhimu wa uzalendo, nidhamu, na kujiepusha na...
  8. DuaZaMama

    GE2025 Agnes Marwa: Samia sio tapeli tumethibitisha hilo

    "Nasimama mbele yenu ndugu zangu kwa heshima na taadhima naombeni kura zenu zote kwa Mama yetu Samia Suluhu Hassan, ni mwanamke aliyetuheshimisha wanawake. Mama Samia sio fisadi, Mama Samia sio mwizi na ndio maana wanawake wa Mkoa wa Mara tunathubutu kusema mitano tena inakustahili Mama. ...
Back
Top Bottom