Aggrey Deaisile Joshua Mwanri (born 17 July 1955) is a Tanzanian CCM politician and was member of parliament for Siha constituency since 2000. He is also served as the regional commissioner and head of security council for Tabora region. He was the Deputy Minister of State in the Prime Minister's Office for Regional Administration and Local Government.
Mwanasiasa na Kiongozi mstaafu Mwinjilisti Agrey Mwanry leo Jumamosi Oktoba 11, 2025 ametumia maandiko matakatifu ya Biblia kumuombea kura Mgombea Urais Samia Suluhu Hassan aliyekuwa na Mkutano wa Kampeni Kahama Mkoani Shinyanga kwenye Viwanja vya Magufuli.
"Mkuu hizo kura sijui utabebaje...
Vituko vya Aggrey Mwanri ambaye aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora wakati akiomba kura kwa wajumbe wa CCM kwa ajili ya kupata ridhaa ya kuwa mbunge wa Jimbo la Siha Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro
Soma Pia: GE2025 - Aggrey Mwanri avunja wajumbe mbavu akiomba kura za maoni
Chanzo: ITV...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.