Agather Atuhaire (born c.1988) is a Ugandan lawyer, human rights defender and freelance journalist. She exposed corruption and maladministration which has gained her recognition by the EU ambassador and the US Secretary of State.
Arusha, Tanzania – 18 Julai 2025:
Katika hatua ya kihistoria ya kutetea utawala wa sheria, haki, na haki za binadamu katika Afrika Mashariki, watetezi wawili mashuhuri wa haki za binadamu – Bi. Agather Atuhaire kutoka Uganda na Bw. Boniface Mwangi kutoka Kenya – wakiwa wameandamana na mashirika...
Mjadala mkubwa kwa sasa ni habari zinazowahusu Boniface Mwangi kutoka Kenya na Agather Atuhaire kutoka Uganda walipokuwa Tanzania.
Wakati serikali ilikanusha madai ya ukiukwaji wa haki zao, baadhi ya raia na mashirika ya kiraia walitilia shaka mazingira ya tukio hilo.
Lakini hata kama...
Nimeangalia mkanda wa video wa Boniface Mwangi kutoka Kenya na mwanadada Agather Atuhaire kutoka Uganda.
Wanaharakati hawa walikuwa wakielezea maswaibu mazito waliyoyapitia waliposhikiliwa na maafisa wa serikali ya Tanzania.
Nikiri kwamba sikumaliza kuuangalia — ulikuwa umebeba machungu...
Serikali ya Tanzania imekanusha madai yaliyotolewa na wanaharakati wa Kenya na Uganda, Boniface Mwangi na Agather Atuhaire kuhusu kufanyiwa unyanyasaji wa kingono baada ya kushikiliwa nchini.
Akizungumza kwenye mahojiano na DW Kiswahili, Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema madai...
Kamanda wa Polisi Kanda maalum ya Dar es salaam Jumanne Muliro amejibu madai ya wanaharakati wawili kutoka Uganda, Agather Atuhaire (Uganda na Boniface Mwangi (Kenya) kuwa waliteswa walipokuwa Tanzania, akisema hayo ni maoni yao na kama wana malalamiko waende kushitaki kwenye mamlaka husika...
24 Mei, 2025. Arusha, Tanzania
Taarifa kutoka Jumuiya ya Wanasheria Afrika Mashariki kuhusu Kukamatwa, Kuteswa na Kuachiliwa kwa Bw. Boniface Mwangi na Bi. Agather Atuhaire, na Wito wa Kuwajibika
Jumuiya ya Wanasheria Afrika Mashariki (EALS) inalaani vikali kukamatwa kiholela, kuzuiliwa bila...
Wakuu,
Aisee ni inasikitisha na kutia hasira kwa vitendo hivi vinavyosimuliwa, kwa mara ya kwanza tumesikia mambo machafu yanayoelezea ukatili wa kutisha zaidi ya kipigo kilichozoeleka. Inaonekana wote waliowahi kukamatwa na polisi nchini wamefanyiwa ukatili mkubwa wa kijinsia na hata kingono...
Masaka, Uganda Kituo cha Utafiti cha Agora kimethibitisha kuwa mkurugenzi wao, Agather Atuhaire, ambaye tangu Jumatatu anashikiliwa na maafisa wa Tanzania, amepatikana asubuhi ya leo akiwa hai katika mpaka wa Uganda na Tanzania.
katika taarifa hiyo wameelezea kuwa "Tunafarijika kuufahamisha...
Masaka, Uganda Kituo cha Utafiti cha Agora kimethibitisha kuwa mkurugenzi wao, Agather Atuhaire, ambaye tangu Jumatatu anashikiliwa na maafisa wa Tanzania, amepatikana asubuhi ya leo akiwa hai katika mpaka wa Uganda na Tanzania.
katika taarifa hiyo wameelezea kuwa "Tunafarijika kuufahamisha...
Ubalozi wa Juu wa Uganda nchini Tanzania umeomba taarifa rasmi kuhusu kukamatwa na kushikiliwa kwa raia wake, Bi. Agather Atuhaire, katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ubalozi huo, Bi. Atuhaire alikuja nchini Tanzania kwa shughuli mbalimbali ambazo...