afya bora

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Uterine prolapse huu ugonjwa kiswahili chake ni nini?

    Naombeni watalaamu wa Afya mnisaidie kunipa majibu ya Uterine prolapse kwa kiswahili.
  2. JamiiForums Tanzania Mzee wangu anasumbuliwa na miguu kwa kidonda cha 2009

    Habari zenu wataalamu wa afya na wajuaji wa mambo humu JamiiForums Iko hivi nina mzee wangu kwa sasa ana miaka 53 sio mzee sana ila ni Bonge ana mwili kama wa hayati mzee wa Lupaso. Mwaka 2009 alipata ajali mbaya ya gari alipona lakini maji ya rejeta yote yaliishia kwenye miguu yake aliiva...
  3. JamiiForums Tanzania Tumpe hitimisho gani kijana huyu

    Asubuhi kabla ya kuanza shughuli zake anakunjwa energy drink Mchana na jioni lazima anywe hizi pombe kali smart gin/ double kick. Ni mfumo wa maisha yake kwa kitambo sasa, tumpe conclusion gani kijana huyu.
  4. JamiiForums Tanzania Ukimwangalia hapa Janabi. Ni kielezo cha Afya Bora ambalo Taifa linapaswa kuwa na watu wa namna hii.

    Janabi amekuwa akisisitiza sana ulaji mwema. Na "LISHE BORA" Huyu mtaalamu wa Vyakula na Lishe. Hivi ndivyo anatamani watanzania wote tuwe, tuwe na mwonekano huu wa Siha njema na Afya pia. Nawaza katika umri wake huu wa miaka 65 plus nadhani watanzania tuna mengi ya kuiga. Sijajua mkewe ana...
  5. JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: Chama cha Figo Tanzania kitawasilisha pendekezo la kuvuna Figo za Marehemu

    Chama cha Figo nchini kimejiandaa kupeleka mapendekezo Serikalini kuanzisha uchukuaji wa Figo kwa marehemu, ili kuongeza idadi ya wapandikiziwaji kwani wengi wanashindwa kumudu kutokana na uchache wa watoaji figo hizo. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili...
  6. JamiiForums Tanzania Tatizo la tumbo kujaa gesi

    Habari wana JamiiForums. Nimekuja mbele yenu kuzungumza na wale wenye tatizo la tumbo kuunguruma, Mimi ni moja wenu na tatizo hili limenisumbua kwa muda sasa lakini hivi karibuni nimepata nafuu kwa kiasi kikubwa. Mwanzo kabisa sikumbuki tatizo la tumbo kuunguruma lilinianzaje, sijui chanzo...
  7. D

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Tanzania nchi ya kipekee yenye uchumi imara na kiwango cha chini cha maradhi yasioambukiza ((non-communicable diseases (ncds))

    Robo karne ijayo Tanzania itakuwa katika nafasi bora ya kiuchumi hili ni jambo la kutia moyo. Hakuna jambo jema likosalo changamoto zake, changamoto kubwa wa ukuaji wa uchumi ni ongezeko la watu wenye maradhi yasioambukiza na ongezeko kubwa la vifo vinavyotokana na maradhi yasioambukiza NCDs...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…