afl

The AFL video game series is a series of Australian rules football video games based on the AFL. Released originally by Beam Software, it has since been developed by several other game developers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tukiendekeza siasa na udini katika mashindano ya African Football League, hayatadumu

    Haya mashindano aina ya African Football League ni rahisi kuona kwa nini huwa yanakwama sehemu nyingine na uwezekano wa kukwama hapa Africa tayari unaonekana. Kutokana na mzozo wa kisiasa unaoendelea huko Mashariki ya Kati, mechi ya ufunguzi iligubikwa na viashiria vya kusapoti Palestina...
  2. JamiiForums Tanzania AFL: Petro de Luanda 0 - 2 Mamelodi Sundowns | 21.10.2023

    Baada ya kushuhudia match ya ufunguzi wa michuano bora hapo jana kwenye dimba la Benjamín Mkapa Ufunguzi wa michuano yenye thamani zaidi Africa inayojulikana kwa jina la African Football League (AFL) Match ambayo iliwakutanisha Big fish wawili ambao walitoshana nguvu na kutoa burudani ya...
  3. JamiiForums Tanzania Azam mmejitahidi sana kwenye Mechi ya Ufunguzi AFL

    Kuna siku nilikuwa nabishana tu na mfanyakazi wa Azam, nilimwambia kwamba kamera za HD wanazotumia Multi Choice ni tofauti na wanazotumia Azam, na wanazotumia Multi Choice ni tofauti na zile wanazotumia Sky Sport. Tulibishana kidogo na alisema kamera za HD zote ni sawa. Nilichouliza kwa nini...
  4. JamiiForums Tanzania UKWELI MCHUNGU: Simba hakustahili kucheza Bonanza la AFL!

    Ukweli mchungu. Tunachofurahia sisi kama Yanga ni kwamba tunajulikana kwa kufanya makubwa, hatujulikani kwa kutengenezewa matukio ambayo yanalazimisha tujulikane na kiwango ni kidogo sana. Ni kweli timu yao inajulikana lakini sio kwa mambo ya mpira, kama ni fainali yoyote hawajacheza, kama ni...
  5. JamiiForums Tanzania Al Ahly FC Wametufundisha Mpira, Bahati ilitubeba ila marekebisho yafuatayo yakifanyika Simba SC inaweza Kuwatoa AFL tarehe 24 Oktoba,2023

    Ukibisha unataka tu Kubisha ila Al Ahly FC wako dunia yao Kimpira kwani Wanajua na wataendelea Kuujua kutokana na Kujipanga Kwao katika kila Sekta. Kama si bahati jana ( na nahisi hata Babu yetu wa Kiutamaduni namaanisha Mganga wa Kienyeji ) alitusaidia mno kwani tulikoswakoswa zaidi ya mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…