adhana

Singhraj Adhana (born 26 January 1982 in Faridabad, Haryana), known mononymously as Singhraj, is an Indian paralympian and shooter. He won a silver medal in the Mixed 50m pistol SH1 and a bronze medal in the Men's P1 10 metre air pistol SH1 at the 2020 Summer Paralympics. He is currently supported by OGQ.

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    Siku Sheikh Rocket alipiga adhana mbili ndani ya msikiti na sokoni

    SIKU SHEIKH ROCKET ALIPOPIGA ADHANA MBILI MOJA KIBLA MASJID BADAWY NA NYINGINE NDANI SOKO MJINGA KISUTU Sikupata kujua wala kuwaza kwa bali kuwa rafiki yangu mmoja alikuwa rafiki wa Sheikh Rocket tena rafiki yake wa kukaa, kuzungumza, kutembeleana nyumbani na kula pamoja. Huyu sahib wangu ni...
  2. October 2pm

    Ratiba kesho ni baada ya adhana kazi ianze

    Hayawi hayawi yamekua. Udugu kesho ndio ile siku yetu. Tumesikia wakibweka siye yetu vitendo. Wanasema wao ni zirail. Siye twataka tuone kesho watavuta roho ngapi. Tutaanza baada ya swala alfajiri. Kama ilivyopangwa. Mpaka sasa hawajui nini kinaenda kutokea. Hiyo ni nusu ya ushindi. Siku kumi...
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Ndg zetu waislamu kwani Adhana ni lazima?

    Ndg zetu waislamu bila adhna asubuhi hamuwezi kuamka na kuswali au hata Ile mida y mchana kwamba Hadi mkumbushwe miaka na miaka? Yaani hata kuweka alarm ya kuwaamsha kwamba muda wa swalaa umefika mkaswali ni hamna? Mkumbuke hata Ile lugha mnayotumia wengi wetu ni sawa na kelele tu maana...
  4. The Father of All

    Tutaondokanaje na makelele kama vile adhana, mikesha , kumbi za starehe, wauza CDs, n.k. yanayosababisha changamoto za afya ya akili kwa jamii?

    Pamoja na wengi kutojali hata kujua hili, kelele au noise pollution licha ya kuwa uchafuzi wa mazingira, husababisha changamoto za kiakili. Si ajabu kuona vichaa wanaongezeka nchini. Watu wengi wana changamoto kwa afya ya akili kutokana na sababu mbali mbali mojawapo ikiwamo ni kelele hasa...
Back
Top Bottom