Ada TADEA (au ADA-TADEA) inarejelea Tanzania Democratic Alliance (TadeA), ambayo ni chama cha siasa cha upinzani kilichosajiliwa Tanzania. Mara nyingi huandikwa kama ADA-TADEA au Ada-Tadea katika media na kampeni.Maelezo Muhimu
Jina Kamili: Tanzania Democratic Alliance (TADEA), na mara nyingi huongezwa "ADA" kama kifupi cha "African Democratic Alliance" au jina la pamoja la chama.
Mgombea Urais 2025: Georges Gabriel Bussungu (au Georges Busungu) alikuwa mgombea urais wa chama hiki katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Alikuwa na mwenza wake Ali Makame Issa.
Ilani na Ahadi za Kampeni (Manifesto 2025–2030):
Elimu: Kubadilisha elimu kuwa inayotegemea ubunifu, michezo, sanaa, na kujitegemea (badala ya nadharia tu). Kuimarisha walimu na kuwapa vijana ujuzi wa maisha.
Teknolojia na Uchumi: Kuanzisha "technology city" maalum kwa vijana na wabunifu, kuongeza mapato ya kodi, kuimarisha usalama (k.m. kuanzisha kitengo kama FBI), na kuimarisha vyombo vya ulinzi.
Uhamasishaji: Ahadi ya serikali inayojumuisha wote (inclusive government) kulingana na sifa na uwezo, kuimarisha uchumi wa Pemba kupitia viwanda, na mageuzi ya magereza (k.m. kutoa mafunzo na malipo kwa wafungwa ili waweze kujitegemea baada ya kuachiliwa).
Mkakati wa "Five U's": Ilani iliyozinduliwa Septemba 2025 ili kuleta mabadiliko ya kitaifa (maelezo kamili yanapatikana katika ripoti za media kama Daily News na The Citizen).
Mgombea Urais Ada Tadea, Georges Busungu amesema hali ni shwari hadi sasa utulivu upo na watu wamehamasika kujitoeza kupiga kura licha kulikuwa na kelele za maandamano hadi sasa.
Georges Busungu amepiga Kura yake Misungwi Mwanza. Aidha alitolea ufafanuzi kwanini jina lake hapo awali...
Mgombea urais kupitia Chama cha Ada Tadea, Georges Busungu amesema endapo atachaguliwa kuongoza nchi katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Jumatano Oktoba 29, 2025, serikali yake itahakikisha magereza yote nchini yanaboreshwa na kila mfungwa anapata stadi za maisha pamoja na posho ya kila mwezi...
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha African Democratic Alliance (ADA - TADEA), Georges Bussungu amenadi sera za chama hicho kwa wakazi mkoa wa Tabora, akiahidi kuimarisha ulinzi na usalama wa nchi na kudhibiti matukio ya uhalifu ikiwemo utekaji kwa kununua...
Naona huyu mzee kaamua kumjibu bi mkubwa. Baada ya kutoa kauli yake ya kwamba vyama vya upinzania aviwezi kuonga nchi ila CCM ndicho chama chenye uzoefu.
===============
Mgombea Urais wa chama cha ADA-Tadea, Georges Bussungu, amewabeza wanaodai wapinzani hawana uwezo wa kuongoza nchi Kwa kudai...
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha ADA -TADEA, Georges Bussungu amesema ikiwa Watanzania wanataka kuandamana waandamane kifikra wakapige kura ili wapate mabadiliko wanayoyataka.
Soma Pia: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea...
Mgombea urais kupitia Chama cha ADA TADEA, George Bussungu, amesema iwapo atachaguliwa, serikali yake itajenga mji maalum wa teknolojia unaoitwa Bongo Technological City, ambapo vijana wenye vipaji kutoka mikoa yote watapelekwa kwenda kuvumbua na kuendeleza miradi mbalimbali ya kiteknolojia...
Hakika hii moja ya hoja nzuri sana kutoka kwa gombea urais wa ADA TADEA.
==============
Mgombea Uraisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya Chama cha Ada Tadea Georges Bussungu ameahidi kuwa iwapo atapata ridhaa ya kuongoza, ataanzanisha kituo maalum cha teknolojia ya akili bandia...
Mgombea wa kiti cha urais kupitia chama cha ADA Tadea Mheshimiwa Juma Ali Khatibamesema lengo la chama cha ADA TADEA ni kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali na kueka matumaini ya kuendelea kuongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae ni Mgombea kupitia Tiketi ya...
Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ADA TADEA, Juma Ali Khatib amesema Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amefanya mambo kubwa hivyo anafaa kuendelee kuiongoza Zanzibar.
Ikiwa ni takribani siku nane tangu Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ifungue rasmi dirisha la kampeni za Udiwani, Ubunge na Urais, Chama cha ADA TADEA mkoani Ruvuma bado hakijaanza rasmi kampeni zake kutokana na hali ngumu ya ukata wa fedha.
Akizungumza na TVE Habari, Katibu wa ADA TADEA...
Soma pia: Chama cha ADA TADEA chatangaza wanawake na wenye ulemavu watakaojitokeza kugombea watachukua fomu bure
Mgombea wa urais kupitia Tiketi ya chama cha ADA TADEA Georges Bussungu akiwa na mgombea mwenza Ali Makame Issa baada ya kuchukua fomu ya kugombea Katika ofisi za Tume huru ya Taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.