Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakar Kunenge amesema "Rais Samia aliagiza simu zitengenezwe Tanzania na sasa hivi simu janja zinazalishwa hapa Pwani na sasa zipo sokoni."
Akizungumza leo Julai 31, 2025, katika hafla ya uzinduzi wa Bandari Kavu ya Kwala, Kibaha mkoani Pwani, Kunenge ameeleza kuwa...