Abbas Araghchi (Persian: عباس عراقچی, pronounced [ʔæbˌbɒːse æɾɒːˈɢtʃi] ; also spelled Araqchi, born 5 December 1962) is an Iranian diplomat and politician who has served as the foreign minister of Iran since August 2024. He previously served as the spokesperson for the Ministry of Foreign Affairs and as the Iranian ambassador to Finland and to Japan.
Waziri wa mambo ya nje wa Iran, Abbas Araghchi, ametangaza kuwa Iran itakubali kusitisha mapigano na Marekani “ikiwa mashambulizi dhidi ya Iran yatasitishwa”.
Aliongeza kusema kuwa “kwa kipindi cha wiki mbili, usafiri salama kupitia Mlango-Bahari wa Hormuz utafunguliwa”.
Waziri Mkuu wa...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, akizungumza na Al Jazeera leo Machi 18, 2026 amesema
Mfumo wa kisiasa wa Iran haujayumbishwa na mashambulizi ya kijeshi wala mauaji ya maafisa waandamizi,
“Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina muundo imara wa kisiasa wenye taasisi zilizojengeka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.