a-level

A-Level (Advanced Level) ni masomo ya ngazi ya juu la shule ya sekondari ambayo mwanafunzi analisoma baada ya kumaliza O-Level (Form Four).

Ni sifa muhimu inayotolewa na shule za sekondari na hutoa njia ya kuingia vyuo vikuu. Mwanafunzi anapofanya vizuri kwenye A-Level, anaweza kupata nafasi ya kuendelea na elimu ya juu kulingana na alama alizozipata na masharti ya chuo kikuu.

Kawaida, A-Level huchukua miaka miwili, ambapo mwanafunzi huchagua masomo 3 au 4 kulingana na kozi anayoitaka chuoni.
  1. Nomadiq

    Kwa zama tulizopo ni bora mtu kwenda Ordinary diploma au Advance Education (Form 5 na 6?)

    HESHIMA MBELE wakuu. Kama mnavyojua kuwa mwezi wa saba umefika na tayari wale wanafunzi ambao walifaulu kwenye mtihani wa NECTA mwaka, wengine wanaenda kidato cha tano na cha sita huku wengine wakianza mipango ya kuingia chuo kwa maana ya Ordinary Diploma. Sasa nilitaka kujua iwapi level hizi...
  2. Mwamundela

    BEST HOME TUTORING – Elimu Bora Nyumbani Kwako (primary ,Form One to A-Level)

    Habari wakuu, Katika zama hizi ambapo ushindani wa kielimu ni mkubwa sana, wazazi wengi wamekua wakijitahidi kuwapatia watoto wao msaada wa ziada nje ya shule ili kuhakikisha wanafanikiwa kitaaluma. Ndio maana nawaletea huduma bora inayoitwa Best Home Tutoring – Elimu bora, nyumbani kwako. ✅...
  3. immortanity

    Hakuna umuhimu wa kuwepo kwa A-LEVEL na vyuo vya kati kwa wakati mmoja .

    Serikali ingeliboresha sera ya elimu kufuta A-level na kuacha vyuo vya kati . Sioni kama kuna umhimu wa kwenda kidato cha tano na sita ikiwa kuna vyuo vya kati Ambapo moja kwa moja student anaenda kupata ujuzi kuliko kwenda advance kusoma notice na practical za mchongo za kupasua vyura siku 10...
  4. Forgotten

    Ushauri kwa wahitimu wa kidato cha 4 (O-Level)

    Huu ni ushauri kwa mliomaliza kidato cha 4 (O-Level) mwaka huu na mnafikiria kujiunga na chuo japokuwa mna ufaulu mzuri wa kujiunga A-Level. Kama ni mzazi una mtoto aliyemaliza masomo hayo na ana wazo hili unaweza kumpatia ushauri huu. Natoa ushauri huu from experience na niliyoyaona baada ya...
Back
Top Bottom