5G ni teknolojia ya tano ya mtandao wa simu. Ilianza kutumika duniani kuanzia mwaka 2019 na imekuja baada ya 4G tunayotumia kwenye simu nyingi sasa.
Kwa lugha rahisi, 5G ni mtandao wa kasi zaidi. Inafanya intaneti iwe ya haraka sana kuliko 4G, inapakua na kupakia taarifa kwa muda mfupi, hata hadi kasi kubwa sana. Pia ina uwezo wa kuunganisha vifaa vingi kwa wakati mmoja bila mtandao kuwa mzito.
Kama mitandao mingine, 5G inafanya kazi kwa kugawanya maeneo katika sehemu ndogo zinazoitwa seli. Kila simu au kifaa ndani ya seli huunganishwa na mtandao kupitia mawimbi ya redio kutoka kwenye mnara wa karibu.
Kwa sababu ya kasi na uwezo wake, 5G inafanya intaneti ifanye kazi vizuri hata sehemu zenye watu wengi. Inaweza kutumika siyo tu kwenye simu, bali pia kwenye kompyuta, vifaa vya nyumbani vinavyotumia intaneti, mashine na mifumo ya kisasa kama magari na kamera janja.
Simu za 4G pekee haziwezi kutumia 5G. Ili kutumia 5G, unahitaji simu inayounga mkono teknolojia hiyo na eneo lenye mtandao wa 5G.
-
M
Weapons expert Mark Steele has testified that 5G is a weapons system designed to depopulate the planet on behalf of the global elite.
In a bombshell report, Steele claims that 5G represents a heinous crime if a person understands the motive behind its deployment.
BYPASS THE CENSORS
Sign up to...
-
Kamouni ya Mawasiliano ya Simu ya Safaricom leo Alhamisi imezindua mtandao wa 5G Wi-Fi mbadala wa huduma za nyumbani na huduma ya 4G Wi-Fi.
Kampuni inalenga makazi na ofisi za biashara katika maeneo ambayo kwa sasa hayahudumiwi na mtandao wake wa Fibre.
======================
Safaricom will...