Waliochaguliwa Kujiunga na Kozi za Shahada, Chuo cha Taifa cha Usfirishaji

Waliochaguliwa Kujiunga na Kozi za Shahada, Chuo cha Taifa cha Usfirishaji

V2d

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Posts
204
Reaction score
31
Mkuu wa Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji, anayo furaha kutangaza majina ya waliochaguliwa kujiunga na programu mbalimbali za shahada mbalimbali kwa mwaka wa masomo 2015/2016.

Mwaka mpya wa masomo utaanza tarehe 23 Novemba 2015. Barua za udahili na fomu za maelekezo ya kujiunga na chuo zimetumwa kwenye anuani zilizotumika wakati wa maombi, mdahiliwa anaweza pia kuzipata kwenye Ofisi ya Udahili ya taasisi yetu.

Pakua faili la PDF: View attachment selected applicants for bachelor degree programmes for academic year 20152016-first batch.pdf
 
kuna watu simu ao hazisomi pdf
 
umechaguliwa automobile
 
umechaguliwa LOGISTIC AND TRANSPORT
 
Asante man...nichekie na hamadi hamisi ud au udom if possible man
 
KUNA MTU NIMEMUONA ANATIWA HAMISI HAMAD CHILEMBA.ebu tuma namba yake ya mtihani form four
 
me nashangaa,sijaomba hela ya mtu ili nimuangalizie nimeamua mwenyewe kwa moyo wangu.
 
Back
Top Bottom