Kauli mbiu ya Mabadiliko inawachanganya CCM. Wanajichanganya

Kauli mbiu ya Mabadiliko inawachanganya CCM. Wanajichanganya

Dumelang

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2011
Posts
3,273
Reaction score
5,932
Bila shaka mnajua kwa uhakika kila uchaguzi mkuu CCM wamekuwa na kauli mbiu inayoongoza kampeni zao.

Kwa mfano mwaka 2005 walikuwa na Hari mpya, nguvu mpya na kasi Mpya.

Mwaka 2010 wakai modify kwa aibu wakaiita Kasi zaidi na Nguvu zaidi, zilikuwepo pia enzi za mkapa nk nk

Leo CCM haijulikani ipi ni kauli mbiu yao.

Wakati #Ukawa wakisema #Mabadiliko CCM wamekuwa wanajichanganya na wao wakati mwingine wanatumia kauli mbiu ya mabadiliko na mara chache wanarudi na ile ya kwao ya Hapa kazi tu.

Sasa swali langu kwa CCM kauli mbiu yenu ni "Mabadiliko" au 'Hapa kazi tu".

Mind you! Ccm wamechanganyikiwa hawajui washike ipi, kwaiyo wanajikuta wana mpiga chura teke na kumpunguzia safari kwa kunadi #Mabadiliko!

MABADILIKO NI SASA, SIMAMA TANZANIA, HATA CCM WANAUNGA MKONO #Mabadiliko .

LOWASSA MABADILIKO
 
umoja ni ushindi...japo leo unaikura imeandikwa kesho imefutwa
 
Siyo sure CCM wanajua kabisa watu wanayataka mabdiliko hivyo ili waweze kuvuna kura wanahitaji kupiga kauli mbiu ya mabdiliko. I'll wanachojichanganya ni kids had kuwa halo mabdiliko hayawezi kutokea ktk mfumo ule ule na watu wale wale.
 
Tanzania ya Magufuli.... Umoja ni Ushindi.... Hapa Kazi Tu... ccm ni ile ile...

Wamepwaya sana hao wakoloni weusi....
Hawachelewi kuja na "PigaTu" mara namna hakuna njia nyingine....!! Eeeehehehe aeeeheeea!!

Peperusha Bendera.....
Mabadilikooooo....
 
Lowasa alikosea tuu siunajua bado haijamtoka kichwani ila ccm hawana jipyaaa wanaiga kauli mbiu ya ukawa
 
lowassa....Mabadiliko..mabadiliko Lowassa
 
Tangazo Lao kwenye TV eti Mabadiliko yanakuja

Haelezi mabadiliko ya namna gani !yanaletwaje ? Nani Nani ???

Tangazo lile lina wafanyia kazi Ukawa tuuuuu!!!!!

Hela mnalipia nyinyi tv
Maudhui yanawanufaisha Ukawa !!!

Na hii ndio hasara ya kukosa ubunifu na kuiga Na kuigiza !!

Mnaiga mpaka tisheti
??????
Mabadiliko; Lowasssa!!
Lowasssa ;Mabadiliko !!
 
Tanzania ya Magufuli.... Umoja ni Ushindi.... Hapa Kazi Tu... ccm ni ile ile...

Wamepwaya sana hao wakoloni weusi....
Hawachelewi kuja na "PigaTu" mara namna hakuna njia nyingine....!! Eeeehehehe aeeeheeea!!

Peperusha Bendera.....
Mabadilikooooo....

Unenichekesha sana mkuu, huu wimbo wa CCM ni ileile una ujumbe sana, maana unatukumbusha hakuna jipya ndani ya ccm.

Nami najua ccm ni ileile kuipa kura ni kurudisha yaleyale #Escrow #Twiga kupanda ndege #Elimu mbovu
 
Tunapaswa kuelendeleza sana hii kaulimbiu ili na wao wanapoitumia lazima kuna baadhi ya watu. Wataona kumbe ccm nayo inaunga mkono Mabadiliko na watapiga Kura kwa UKAWA.

SAA YA UKOMBOZI NI SASA, TANZANIA MPYA INAKUJA #MABADILIKO
 
Dumelang siku hizi na wewe ni Ukawa? Hakika mabadiliko yatasomba wengi. Piiiiiiiiipoooooooooooooozzzzzzzz!!!!!!!!!!!!
 
Dumelang siku hizi na wewe ni Ukawa? Hakika mabadiliko yatasomba wengi. Piiiiiiiiipoooooooooooooozzzzzzzz!!!!!!!!!!!!

Aisee nitake radhi sijawai kuwa CCM hata kwa baati mbaya. Tangu mfumo wa vyama vingi nimeishi upinzani, maana mie CCM niliwafahamu hawana jipya tangu Nyerere anaishi.

Viva #Ukawa dedication #viva Roma
 
Bila shaka mnajua kwa uhakika kila uchaguzi mkuu CCM wamekuwa na kauli mbiu inayoongoza kampeni zao.

Kwa mfano mwaka 2005 walikuwa na Hari mpya, nguvu mpya na kasi Mpya.

Mwaka 2010 wakai modify kwa aibu wakaiita Kasi zaidi na Nguvu zaidi, zilikuwepo pia enzi za mkapa nk nk

Leo CCM haijulikani ipi ni kauli mbiu yao.

Wakati #Ukawa wakisema #Mabadiliko CCM wamekuwa wanajichanganya na wao wakati mwingine wanatumia kauli mbiu ya mabadiliko na mara chache wanarudi na ile ya kwao ya Hapa kazi tu.

Sasa swali langu kwa CCM kauli mbiu yenu ni "Mabadiliko" au 'Hapa kazi tu".

Mind you! Ccm wamechanganyikiwa hawajui washike ipi, kwaiyo wanajikuta wana mpiga chura teke na kumpunguzia safari kwa kunadi #Mabadiliko!

MABADILIKO NI SASA, SIMAMA TANZANIA, HATA CCM WANAUNGA MKONO #Mabadiliko .

LOWASSA MABADILIKO

Ccm hawana jipya na kauli yao ya kihuni huni et "hapa Kazi tu"
 
Back
Top Bottom