The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,151
- 20,077
Hofu ya kitu usichokijua ni hofu kubwa kuliko hofu zote. Ccm wamewajaza watu hofu ya vitu wasivyovijua na kuwaogopesha lakini Mungu mkubwa Sumaye jana kawafungua watanzania.
Ccm imepanda hofu kwenye mioyo wa watanzania kwamba wakichagua wapinzani wakutakua na amani,sasa watu kwa kua hawajawahi kupitia hali hiyo na kwa kua hawajui kitakachotokea kweli wanaogopa.
Jana Mheahimiwa Sumaye aliwafungua watanzania kwamba huo ni uzandiki na unafiki wa ccm kudanganya watu ili kuwajaza mashaka na wasiwasi ili waendelee kutawala, sasa watu wamejua, ccm siku zenu zinahesabika.
October 25: Kwa jinsi hii Mungu aliipenda Tanzania hadi akatuletea Lowassa ili kila atakaempigia kura awe na maisha mazuri.
Lowassa baba, kamua baba. Wewe ni mteule wetu toka kwa Mungu kuja kutuokoa toka kwa farao ccm.