Je unahitaji ramani(plan) ya nyumba yenye mpangilio na muonekano mzuri ?

rasdavy

Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
84
Reaction score
14
Jipatie house plan yenye mpangilio mzuri kulingana na ukubwa wa kiwanja chako. Utapata floor plan, set ya elevations,section,foundation plan, furniture layout, plumbing details, roof plan, elements schedules, na 3d views kwa bei nafuu. Nipm or nicheki kwenye 0714155854
 
Attachments

  • 1413145802120.jpg
    1413145802120.jpg
    94.6 KB · Views: 1,210
  • 1413145831624.jpg
    1413145831624.jpg
    100.3 KB · Views: 1,258
  • 1413145885716.jpg
    1413145885716.jpg
    95.8 KB · Views: 870
  • 1413145925633.jpg
    1413145925633.jpg
    106.4 KB · Views: 941
  • 1413146023133.jpg
    1413146023133.jpg
    26.8 KB · Views: 874
  • 1413146088821.jpg
    1413146088821.jpg
    28.2 KB · Views: 893
Unaweza kutembelea ofisi zetu@ machinga complex floor ya nne wing ya mkono wa kushoto kama unatoka ilala boma. Tunafanya pia makadirio ya gharama za nyumba kwa bei nafuu. Pia na huduma ya structural design kwa ghorofa .
 
Appartment plan sample
 
Attachments

  • 1413147501781.jpg
    1413147501781.jpg
    49.3 KB · Views: 728
Bei ni maelewano kulingana na ukubwa wa kazi cheki mi 0714155854
 
Unaweza kutembelea ofisi zetu@ machinga complex floor ya nne wing ya mkono wa kushoto kama unatoka ilala boma. Tunafanya pia makadirio ya gharama za nyumba kwa bei nafuu. Pia na huduma ya structural design kwa ghorofa .

Mkuu naomba kuuliza...ili kufanya structural design ya ghorofa kwa mfano do you need any kind of registration or just skills?
Thanks in advance
 
Unaweza kutembelea ofisi zetu@ machinga complex floor ya nne wing ya mkono wa kushoto kama unatoka ilala boma. Tunafanya pia makadirio ya gharama za nyumba kwa bei nafuu. Pia na huduma ya structural design kwa ghorofa .

Mkuu.safi sana..kazi nzuri sana sana..acha tujipange..kimsingi napenda sana nyumba za calfonia style..
 
Je kugawa vyumba kwa kutumia gypsum boarg (or another woodern board) ni gharama nafuu kulinganisha na kutumia matofali?
Kwa mtizamo wangu, kuna uwezekano ikawa gharama nafuu kwani ukuta wa tofali unahitai mambo mengi mpaka ungae. Naomba maoni yenu.
 
Partion za ndani kugawa kwa material ya gharama nafuu kama mbao na ceiling board haina shida ila kwa uprivacy zaidi kwa mazingira yetu ya kiafrika ingetumia tofali za kuchoma au insulated wall panels ambazo pia gharama yake ni nafuu na ukuta wa nje unaobeba mzigo ukatumia tofali za kawaida
 
Ahsante! Je insulated wall panels zinapatikana kwa wingi? Je hazihitaji finishing kubwa kama ya matofali? Je kuna mafundi wengi waliobobea? Kwa mfano, ukta wa mita tatu (urefu) kwa futi nane unaweza kugharimu bei gani? Sifurahishwi na finishing zilizozoeleka.
 
Insulated wall panels hazipo kwa wingi hasa kwa mikoani ila kwa dsm maagent wanaotengeneza wapo na gharama zao zinatofatiana ila ni cheap ukilingalisha gharama za tofali. Mara nyingi zimakuwa na finishing au kama unahitaki aina fulani ya finishing wanaweka, unachotakiwa kufanya kwenda na ramani yako ya nyumba kwa mawakala wauzaji then wao watafanya kila kitu
 
Tuliopo huku pembezoni haya mambo tutaendelea kuyasikia tu. Kila kitu kizuri - kwa sababu za kiuchumi - kipo DSM.
 
3d bedroom genuine unique house
 
Attachments

  • 1413241845292.jpg
    1413241845292.jpg
    122.1 KB · Views: 380
  • 1413241961259.jpg
    1413241961259.jpg
    108.8 KB · Views: 325
  • 1413241985367.jpg
    1413241985367.jpg
    115.8 KB · Views: 372
Back
Top Bottom