zinc
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 1,391
- 1,069
Ndugu wadau wa JF,
Kuna demu wa humu MMU ana nia mbaya na mimi, juzi kanipigia simu na kunieleza eti kwamba ana mimba yangu.
Binafsi nilipata mshangao na kumuuliza baadhi ya maswali, akaishia kujichekesha kama Jokate. Basi nikaamua kukata simu baada ya kuona mizinguo, toka siku hiyo anajaribu kunipigia lakini mimi sipokei simu kwani nimeshamsoma tabia yake, ameamua kunitumia messages zisizo na mipaka, ananitukana na kunitishia maisha.
Cha ajabu zaidi kanitishia kwamba eti atamtafuta Joyce Kiria yule wa wanawake live sijui, ili aone njia yoyote atakayopata kwa ajili ya kunikomoa.
Pia hakuishia hapo, kuna text mojawapo amesema ataenda mbele zaidi kwa kuwashirikisha wadau wa humu ndani JF, ili aone ushauri atakaoupata ambao utalenga zaidi maslahi yake.
Nawaombeni wadau huyu demu msimpe ushirikiano wowote, zaidi mjaribu kumuhoji kama ana hoja za msingi.