Search results

  1. cheupe sr

    Hii ni special kwa wanaume hasa walio katika ndoa.....

    Ni kitambo sasa nimekuwa nawaza hivi inakuaje mwanamke anaweza kutoka nje ya ndoa wakati mume ulimpenda mwenyewe na mkakubaliana kwa moyo kabisa kuishi pamoja kama mume na mke.. that means umemkubali kwa kila kitu...Kwa wewe mwanaume ambaye umeoa na mkeo anakuonyesha mapenzi yote na kukupa na...
  2. cheupe sr

    Swali kwa wanaume hasa walio kwenye ndoa...

    Habari zenu wana JF, Nimekua mara nyingi najiuliza bila kupata majibu , na leo nimeona nirudi jamvini pengine nipate mawazo tofauti kutoka kwa wadau. Hivi ni kwanini wanaume kwa asilimia kubwa walio kwenye ndoa huongea kwa ukali/hawana lugha za kimahaba wanavyoongea na wake zao kwenye simu...
  3. cheupe sr

    hodiiiiiiiiiii

    Mambo vp wana jf mi ni njuka naitaji mwongozo...
Back
Top Bottom