Search results

  1. Chebyshev

    Yote haya kisa dini tofauti

    Habar zenu wana JF mm n kjana mwnye umri wa miaka 22, kwa bahati mbaya au nzuri nmetokea kumpenda mschana ambaye nmesoma nae na yeye pia ananipenda. Tatizo ni kwamba amesema hawez kuwa nami kisa dini zetu ni tofauti hata kama ananipenda. Mimi nampenda sana huyu msichana na vile vile ctaki...
  2. Chebyshev

    Inakuwaje na wakati nina kadi ya bima

    Habari zenu wana JF mm nmechaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha dar es salaam. Lakin kwenye DIRECT COST zao kuna fedha ya matibabu, sasa inakuwaje na wakati mimi ninatumia bima ya afya na mzee wangu anatozwa fedha nyingi kwenye hyo bima???
Back
Top Bottom