Kuna wengine walimu wanawataka kabisa sio kwamba situation uliosema haipo kama ingekua ivo mada isingeongelewa. Mbaya zaidi wanaweza ku report wakiwa wanasumbuliwa but walimu wengine wenye michezo kama hiyo hawatamtongoza watamfelisha kwa kumchoma mwenzao. Atakua haja solve chochote soo naisi...
Love your job not your company, u will never know when the company stop loving u.......tulia penda kazi unayofanya usitambe hapa, huezi jua lini utaachishwa kazi...sijui utarudi hapa kuongelea mambo ya chuo, penda kazi yako kama umepata na omba sana wakubwa waendelee kukupenda...hilo tu
Sitaweza kutetea kauli yako mkuu sababu nchi imeharibika, inaitaji watu wa hivi inyooke, nyie wafanyakazi huko mlishajifanya miungu watu, ham ambiliki ham sikii, basi mfundishwe kazi, sababu hakuna namna.HAPA KAZI TUUUU.
Siasa bwana, walimponda sana, sasa iv wamempokea kawa msafi, angebaki CCM wangeendelea kumwita fisadi, naye Lowasa ameyaona mabaya ya CCM baada ya kutoswa, kama sio siasa tuu hiyo.
Sasa ukianza kazi na mshahara wa 3.5 m utastaafu na mshahara kiasi gani?
Pension Yako utachukua sh. Ngap coz wanaangalia mshahara wa mwisho wakati wa kustaafu, daah! ni hatari sana.
I think that wasn't a compliment. Nyinyi bwana vijana wenu are looking terrible kama majasusi, miwani, gloves, what for? Kama vile mnaficha identity wakati wa vurugu. Kuweni open.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.