Search results

  1. frank wanga

    Ajira mpya za walimu awamu ya pili hizi hapa

    hata me nimeyaona nenda tamisemi website utaona.
  2. frank wanga

    Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

    Jikubari jinsi ulivyo achana na mambo hayo ya kizushi.mwili hauna spare ukiharibika ndo basi teta, utapatawapi tena kifaa adim kama hicho unacho taka kukiharibu, au una ndege ya kwenda kwa Mungu kuchukua nyingine nini? Aise!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  3. frank wanga

    Nini manayake!

    Naommba kujuzwa kuhusu hili,Hivi ninini kinacho mridhisha wmanamke wakati wa kujamiana. je niukubwa wa uume au unene,urefu wake.je nikwanini watu wengi wana tafuta dawa za kuongeza maumbile hayo! Nini madhala ya dawa hizo kwa hapo baadae.
  4. frank wanga

    Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Makubwa!, sikushauli umpe hata hiyo simu kwakuwa huo sio mtaji wa kuchumia pesa. Pia raha ni kwa wote kwanini yeye adai malipo au ofa baada ya kazi, Lakini wajinga ndo waliwao chunguza kwa makin kabla ya kufanya jambo,kama mlipatana kwa mkataba huo sio mbaya, lakin unapo mtafuta mtu usimpe...
  5. frank wanga

    Blood Group Yenye Rhesus

    je nikweli kwamba mtu mwenye blood group yenye rhesus - hawezi kupata mtoto,au watoto watakuwa wanakufa?
  6. frank wanga

    Blood Group Yenye Rhesus

    Je nikkweli kwamba mtu mwenye blood group yenye rhesus- hawezi kupata mtoto?
Back
Top Bottom