Search results

  1. Iron Lady

    Maisha ya Furaha na bora ya ndoa ni kuwa bwege, mpumbavu na mjinga

    Ndoa ni kama mungu haichunguziki haina mwalimu wala mjuzi. Unayofikiri yanatakiwa kufanyika kwa huyu kwa yule haviapply Kuna wenza wengine mke asipokuwa mbabe Au mume hamna ndoa hapo Huku mtaambiana vumilia usiulize akirudi kachelewa we chekacheka tu moe na juisi sa tisa usiku😂wapi.!! Kuna...
  2. Iron Lady

    'Beach boy' jela maisha kwa kumbaka mtoto akimfundisha kuogelea

    Ni kweli pale coco inasemekana wadada wengi wanabakwa kwa kufundishwa kuogelea ila wanaona aibu kusema ukweli wakirudi huku wanajikausha lakini inapaswa pale na beach polisi ambao wnaaangalia usalama wa vitendo vinavyoendelea mana pale panabeba mkusanyiko wa watu wengi mno
  3. Iron Lady

    'Beach boy' jela maisha kwa kumbaka mtoto akimfundisha kuogelea

    Huyu beach boy muuaji mkubwa hajui athari aliyoicha kwa binti huyu na walimkabidhi mtoto kwa mtu huyu nao wanapaswa kujitafakari
  4. Iron Lady

    #COVID19 Askofu Gwajima: Ni ujinga kuruhusu Taifa zima kuwa 'Experiment' kwa sababu tuna haraka ya Corona

    Umesema vyema , Wizara isipuuze hoja za gwajima wazifanyie kazi
  5. Iron Lady

    Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

    Kwa hili unaongeza tatizo ktk taifa au unapunguza?[emoji35] [emoji35] [emoji35]
  6. Iron Lady

    Nimeamini Rais Magufuli hamuonei mtu kwenye kutumbua

    Utakuwa unamatatizo wewe
  7. Iron Lady

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    Niache tu usijeacha tukagombana kwa vitu ambavyo havitupi faida ya moja kwa moja na tunza maneno yako usiharibu mood za watu
  8. Iron Lady

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    tutasema ameanza kujirekebisha kitu ambacho hakikatazwi ukianza kufanya mema basi ya nyuma twasahau hata kwa mungu haangalii nyuma ili mradi umeanza kufanya mema
  9. Iron Lady

    Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

    haya sio mambo ya kushabikia wala kufurahia hii inaonesha mkuu ana tatizo na ni wakati sasa wananchi kwa ujumla tuseme hatukubaliani tusiposema leo kesho kitafanywa kitu kikubwa zaidi tutazitamani siku za uhuru wetu na maisha yetu ya haki yani watu watumie vyeo na mabavu kufanya maovu mkuu wa...
  10. Iron Lady

    Sheria ya ndoa haina sehemu iliyoandikwa panahitajika cheti cha kuzaliwa ili kufungwa

    wale wanaotaka kubariki ndoa nao wamezaliwa hv karibuni?
  11. Iron Lady

    Apple vs FBI; Maxence Melo vs DCI

    kuna jambo hapa
  12. Iron Lady

    Dunia haijawahi kuzeeka

    mshana jr atakuja kukusaidia
  13. Iron Lady

    Dunia haijawahi kuzeeka

    [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  14. Iron Lady

    Je, ni sahihi kutumia Bibilia ya kwenye simu wakati wa ibada kanisani?

    Kwani kuchat kanisani ni kosa? Mbona makanisa hayapigi marufuku waumini kuja na simu nadhani kisichotakiwa ni kuwakwaza wengine na sauti ya vitu mvalimbali vitakavyokuwa vinaendelea ktk sim yako Mi nafikiri tumekariri vibaya Ila kwa yule apendaye kusikiliza mwanzo mwisho basi yeye mwenyewe...
Back
Top Bottom