Search results

  1. X

    Nigeria rejects Boko Haram prisoner swap for hostage schoolgirls

    Uislam hauruhusu utekaji na kusoma ndio amri ya kwanza kushuka kwa Mtume Muhammad S.A.W ule sio uislam ni wale waislam wenye mapungufu ya kutojua dini yao inataka nini.
  2. X

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Duh umeona ufunguke... Kwani hakuna wakristo kwenye bunge la katiba. Yeye akubali tu, si lazma wakristo wote wawepo ndo maana kuna idadi ya wawakilishi kupitia mlango wa dini. Mbona inaonekana ni big issue wakati waislam kuna madhehebu pia na wako wawili tu? Acha udini, hapa tuko kitaifa au...
  3. X

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Mfarakano upo tu, ULISHAANZA kuonekana, it is very obvious kama wangechaguliwa na kuachwa mwingine angelalamika. Akubali matokeo tu
  4. X

    Katiba Mpya: Askofu Kakobe ampelekea Rais Kikwete ujumbe wa wazi kutoka kwa Mungu

    Hata ingekuwaje, madhehebu yako mengi sana lazma kuna moja lingekosekana. Sasa bahati mbaya imemuangukia yeye... Mbona waislam mashia na wengineo hawalalamiki. Anaanza kuntia mashaka, hakutakiwa kuleta ujumbe huu. Alitakiwa kuliombea taifa kama yeye ni mtanzania na aache udhehebu, kama alikuwa...
  5. X

    Rais Kikwete: Serikali haitowabeba wawekezaji wazawa katika vitalu vya mafuta na gesi

    Hata hiyo shughuli ikifanyika kigoma ndo watapata watu wa kigoma?
Back
Top Bottom