Search results

  1. Toria

    Je, una matatizo ya mahusiano na mke mume au mchumba

    hapo utakuta consultant mwenyew huna mke,huna mchumba na huna mchepuko afu unataka uwasaidie watu fyuuu
  2. Toria

    Umesharudia matapishi mara ngapi?

    hizo termilogy zilizotumika humo ndan sasa!! ni hasira tupu
  3. Toria

    I cant stand the rejection

    cancer hii inayosababishwa na rejeksheni inatibika kweli?
  4. Toria

    Kwangu harufu ilikua ni kigezo namba moja

    kama hutaki hata wakusogelee huko kuwasaidia inawezekana vipi sasa
  5. Toria

    Wadada above 30

    Kwani lengo la ndoa si ukazae na menopoz inaanza 45!!! sasa mbona hao 30s bado wapo eligible kabisa
  6. Toria

    Anaesema mapenzi ya JF sio real nani? Idhulumu nafsi yako tu

    Aaaaaww!! lara huyu huyuu tunaemjua ndo karegret then our dear love is nolonger blind kwakweli
  7. Toria

    Mke wa mtu sasa lakini bado ananipenda balaa...

    Ina maana ule msururu wa dates zako za nyuma zote wanakupigia simu wanalia utaku huna jinsi zaidi ya kuendelea nao???? stop kiddin young man
  8. Toria

    Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

    ndio waliobaki na hatuna option ingine
  9. Toria

    Wananiita popo, Kasinde

    utaambiwa wivu ujue, muwache mwenzio atafune ujana
  10. Toria

    Wananiita popo, Kasinde

    Atleast this time no crush.................
  11. Toria

    Kanikuta nanunua boksa ya mtumba

    A man's confidence only pays when everything else just stays away in his life Kuna mtu ni chokambaya ila kwa confidence yake tu.....utampenda bureeeee
  12. Toria

    Anaesema mapenzi ya JF sio real nani? Idhulumu nafsi yako tu

    Vin Diesel ngoja niwe msemaji wako; wivu huna ila roho inakutoka lol Hapa naona kama ile movie ya kim kardash, kanye na ray j mwenyewe akitapatapa
  13. Toria

    Mume wa mwimbaji Injili adaiwa kumbaka shemejiye

    Aisee ni huruma ndoa ikirest in peace kama hivi shetani anajipongeza tu mission accomplished
  14. Toria

    Tuelimishane kwa hili

    asietaka kuzaa shombeshombe nani???
  15. Toria

    Je! huyu bwana alichowafanya mabinti hawa wasomi ni sahihi?

    yeah kitendo cha kwenda kumlia vyake buree its their business depends walikutana wapi,mazingira gani na walichukulianeje tatizo ni kubebana wengi hiyo ni njaa style afu na hicho kitendo cha kupeana simu mbele yake na hata kama simu ingekua na hela means wangekua busy na visimu vyao wakichit...
  16. Toria

    Je! huyu bwana alichowafanya mabinti hawa wasomi ni sahihi?

    muwe mnasaidiana na hayo mabuz bas tumalize tatizo kama si kupunguza
  17. Toria

    Je! huyu bwana alichowafanya mabinti hawa wasomi ni sahihi?

    nimekuelewa mkuu, sema hicho kitendo ndio cha ajabu kidogo
  18. Toria

    Kumbukumbu ya kifo cha my love

    May her precious soul keep R.I.P
  19. Toria

    Hivi ni sahihi kufikria mke/mme wako anachepuka!?

    Sasa mkuu ukishafikiria/kudhani hiyo safeness au sustainability inakujakujaje yani
Back
Top Bottom