Search results

  1. S

    Ni ufisadi wa Spika Samwel Sitta

    mhh ,minjemba hii hata haya hawana ,hao wote watatu wa wawizi inakuwaje?.kwa nini tusimwambie mwenye mzigo wake unamalizwa.Ahh lakini ya nini we acha tunyamaze tu, maana ufisadi wa huyo mwenye mzigo wake naye hatuujui labda na yeye ana play boy wake maana hawa wenzetu kwa sababu ya mihela ya...
  2. S

    Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    HEY hivyo mpaka leo bado hujajua kuwa hicho chama unachosema chama chenu, wewe hujulikani na wala huwezi kulinda hata choo. hicho ni chama cha mafisadi,na ndio kazi anayoifanya mr mbowe kuwafungua macho raia kama wewe mnaoshabikia kwa kufuata rangi za bendera,pole sana chama hicho unachodai ni...
  3. S

    The road towards 2010 Elections

    tusipoteze muda wetu kujadiliana kuhusu hayo mambo muhimu,kama ulivyoyaweka katika jf, kwasababu huyo ambaye unamfikiria yupo na wewe katika hayo,nakusikitikia kuwa huyo JK YUPO NA SERA ZA C C M, ( C hukua C hako M apema) nia vyema tukae na kujadilina kuwa ni kwa nini nchi hii ina vyanzo vingi...
  4. S

    Je, Ridhwan Kikwete naye ni fisadi?

    HEEEEEEEY STOP,SASA MTASHIKA WATU PABAYA,UKISIKIA UTAMU NDIO HUU,YAANI MPAKA INACHEKESHA, MAKOSA YETU WENYEWE WATANZANIA,TUMEFUGA CHUI KATIKA ZIZI LA MBUZI,KITAKACHOTOKEA NI KIAMA CHA MBUZI. Sasa mwajamani wale jama ze comedy hawana tabu ya kutafuta habari,na sisi kwa sasa naona tukinyamaza...
  5. S

    Rais Bora Tanzania - Chaguo la JF

    waswahili wanasema,mpe mtoto wako mchawi amlee, waswahili wameenda mbali sana, hata ulinzi wa mali mpe mwizi ulinzi wa mali hiyo. hapo sasa ndipo utakapoona kumbe viongozi wanaostahili ni hawa. Rais ni E L MAKAMU WA RAIS KARAMAGI WAZIRI MKUU BWM WAZIRI WA HELA FT SUMAYE...
  6. S

    Pinda: Nikila rushwa Mungu aniue!

    mh! teh teh teh, wanamaneno hawa jamaa,utahadhani kweli vile, nilivyokwisha wazoea lazima awe na sifa hizi kuwa kiongozi wa ccm, kulindana, kuficha ukweli,kuogopa ukweli,na unafiki.......kama ni mkweli atujibu yeye maana mh jk kashindwa kumrudisha balali,yeye asituletee balali ila amtaje...
  7. S

    Ukishangaa ya Musa utaona ya filauni

    BWM - LAMADA ILIYOPO ILALA -MRADI WA KIWILA (TANESCO ITALIPA MILLIONI300 KILA SIKU UKIWA TAYARI. - HOTELI YA NYOTA 3 AFRIKA KUSINI. -NYUMBA YA KIFAHARI LUSHOTO. - MAMILIONI YA DOLA KATIKA MABENKI YA NJE. - MALORY YA MIZIGO YASIOPUNGUA 20 (SCANIA 124 MODEL @...
  8. S

    Gavana Ballali: Nini kinaendelea?

    Watanzania wenzangu,samahani sana kama haya maswali yangu yatawaudhi,na hasa nyie mnaotumia kijiwe hiki,naomba majibu mazuri ili mpate faida ninayotaka kuwapa,katika maoni yangu,kwani nipo makini na haya matukio yanayotia aibu kwa nchi yetu, na huku viongozi wetu wakiitana mashujaa kwa ufisadi...
  9. S

    Gavana Ballali: Nini kinaendelea?

    Mafisadi wote wanajulikana sehemu walipo,mmoja yupo Kenya,anaomba hifadhi,wengi waliobakia wapo hapa hapa Tanzania yetu,wengine walipotelea Marekani kwenda kusomea digrii ya ufisadi na wamerudi kusubiri zamu yao,wamekuwa kama Tai walioona mzoga hawachezi mbali na Tanzania yetu,maana haina...
  10. S

    Je Haya Ya Jk Ni Ya Kweli???

    NI KWELIII, Sioni ajabu, kwa mkuu wetu, kwasababu bila kupitia huko hujaumbika,Kwani ana uzee gani hapo alipo, ukiacha alipokuwa waziri wa mambo ya nje, mwacheni kama kutumia ni haki yake,tunashukuru mungu viongozi wetu wote ni safi, kwani hawaibi ila wanachukua, mwenyezi mungu awape maisha...
Back
Top Bottom