Search results

  1. T

    TB JOSHUA: Kuna Rais East Africa atatekwa na Club kulipuliwa

    Nafikiri wakristo wengi wanatatizo la ku'underestimate' Mungu. Zinapotokea ishara na Miujiza kwa Jina la Yesu na kwa utukufu wake kwa nn ukimbilie kusema ni uongo. Hii inamaanisha unaamini shetani au mwanadamu ana nguvu zaid kuliko Mungu?. Someni Miujiza iliyotokea wakati wa mitume ilikuwa ya...
  2. T

    Fainali za Epiq Bongo Star Search kutoka Diamond Jubilee.!

    sijajutia kumsubiri mshindi!!!!!
  3. T

    Hukumu Rufaa ya Godbless Lema yaiva

    Kama kuna mtu ana access na profile ya Lema pls ningependa kuona CV yake hapa JF! Asije akawa naye ni kihiyo tu asiye deserve kuwakilisha wananchi Bungeni!
  4. T

    Huyu kaka ana jinsia gani?

    ...huyo kaka wa madameX yuko poa naamini...nina mfano halisi wa m2 mmoja aliyelelewa hivyo na akazushiwa maneno kama hayo ya uhanithi, ulemavu tena na watu wa kanisani kwake (walokole wenziwe). Alikuwa late 30z alichokifanya alioa kwa sababu ya pressure za watu wanaomzungika na kuharakisha...
  5. T

    Dr. Mwakyembe unaheshimika lakini kwenye hili umeteleza vibaya

    Mwakyembe ana hoja ya msingi kabisa, kwa wale waliowahi safiri kwa Green Star Dsm-Mby wamejionea ustaarabu wa kutojisaidia maporini Gari inasimama sehemu yenye vyoo tu. Sehemu za kuchimbia dawa ni zile zile zimekuwa chafu hakuna anayejali, vinyesi vimetapakaa hovyo inakera sana...nenda nchi...
  6. T

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    ....both dont deserve!.... Slaa is too aggresive to be a presd n Zitto has no true colors!
Back
Top Bottom