Search results

  1. fisadigamba

    ADC - Kitaweza kuvunja ngome ya Chadema, CUF?

    Chadomo bana woga tuuuuuuuu! Jibwa hilooooo! Cheki ulivyoruka hahaa
  2. fisadigamba

    Hatimaye ADC yapata Usajili wa Kudumu

    Sasa hv unaona ni kachama Yaaani kadogo but soon utaliita LICHAMA yani litakua likubwa mno!
  3. fisadigamba

    ADC yavunja rekodi ya Uhakiki Dodoma

    Labda ni chama cha kanda ya kaskazi.....Pepo za Kas na Pepo za Kus
  4. fisadigamba

    ADC yavunja rekodi ya Uhakiki Dodoma

    ADC ni chama cha siasa kinachotetemesha vyama vyenye Rushwa tena vya upinzani,kirefu chake niAlliance for Democrtic Change,Tatizo hapa ni shule,kwa sasa kina ungwa mkono mikoa kumi na Tano nakimeshadhaminiwa na mikoa saba,HIKI si chama cha kikanda,KAMACUF pemba CDM, kule kwa wachaga na mule mwa...
  5. fisadigamba

    Zitto Kabwe kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA endapo....

    Duh!hili bal balaa......ninyi akina nani? Zito si na yeye kajenga chama hicho? 2015 Zito for Presidency.
  6. fisadigamba

    David Kafulila: Rais 2015 Lazima Atokee Kigoma

    Hv ni kafulila AMA kafulia? Maana huu ni utumbo, hii inaonyesha ni jinsi gani tuna wanasiasa vilaza wabinafsi na wenye uroho WA madaraka. Hv hiyo democrasia inayosema kwamba Lazima 2015 Rais ajaye WA TZ atoke Kigoma ni ya wapi tena? Hv anajua Maana ya democracy huyu? Na Kama anajua sasa huo...
  7. fisadigamba

    Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

    Colour za CDM, Pandikizi, Kumteka Ulimboka....dah! Umetisha, Kweli wewe kibaraka.....Hv mpinzani wa kweli ni Chadema? Jamani inamaana vyama vingine haviruhusiwi kuwa oposition lazma tu muwe ninyi? Mbona watemi sana? Ndio utemi huu ninaouona headn inashauri kwa waliochoka nao basi wajiunge na...
  8. fisadigamba

    Zitto Kabwe, STOP using Ramadhan Semtawa kuivuruga CHADEMA

    Ama kweli ww ndio utakua unatumiwa na cdm...eeh! Hv haka kagazeti kenu si ndio kale kanakohusishwa na hawa wazee wagwandaman?
  9. fisadigamba

    Zitto Kabwe, STOP using Ramadhan Semtawa kuivuruga CHADEMA

    Hivi kumbeeeeeee! Kameshakua hakana thamani kwa kiwango hiki eeh! Lakini kaeni mkitambua kwamba kana nguvu kweli na jaribuni kukATIMUA MUONE MZIKI WAKE....Kama hajapasua hicho chama chenu cha Ukanda uleeee wa akina Nassary.
  10. fisadigamba

    Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

    Kumbe vichaa wengi humu ndani eeh! sikujua hili [komenti gani hii?]
  11. fisadigamba

    Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

    Kwa Madhumuni kama haya ni mwanzo mzuri katika safari hii ya kisiasa. Utekelezaji ndio msingi wa yote mliyokusudia kuyafanya, hasa hapo kwenye BLUE (namba 3) ndio kinachoisumbua CCM leo hii. Wizi wa mali za umma na Ufisadi kwa ujumla wake. Hakika malengo ni mazuri tunasubiri utekelezaji kwa...
  12. fisadigamba

    Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

    Hiki chama si ndio kwanza kinashughulika na usajili wa kudumu? Sasa hiyo ndoa ya lini tena? Mbona mnaatack hata visivyostahili. Shutuma tuuuuuu bila mpangilio. Wabongo bana aaagh!
  13. fisadigamba

    Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

    CCJ nadhani ilibadilika na kuwa CCK......ambayo ipoipo.
  14. fisadigamba

    Ujumbe kwa wana magamba wote wa ccm

    duh! Hii kali baba akijamba?
  15. fisadigamba

    Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    hawara hapewi talaka. adui yako mkubwa ni tabia yako
  16. fisadigamba

    Karibuni ADC kwa wote waliochoshwa na ufisadi wa CCM na CCM 'B' na ubabe wa CHADEMA

    Binafsi sioni tatizo kwa Kafulila na Hamad Rashid kuwa katika chama hicho. Wao ni wanasiasa na kila mmoja kafukuzwa kwenye chama chake japo bado ni wabunge kwa nguvu za mahakama. Sasa kuna ubaya gani wao kuingia ADC ilhali bado wananguvu na dhamira ya dhati ya kutetea maslahi ya Tanzania.
Back
Top Bottom