Search results

  1. T

    Dr. Mwakyembe afunguka kuhusu Richmond na dhamira yake kugombea Ubunge tena - Oktoba 23, 2015

    Ni mkweli kama alivyoficha mambo engine ili kuinusuru serikali, asiaminiwe Huyu MTU. Stay tuned... =========== UPDATES: 21:30HRS - Mahojiano maalum na Mwakyembe yanaanza - Mwakyembe anadai suala la Richmond lilikuwa suala la kibunge; anasema tangu Lowassa ajiuzulu kumekuwepo...
  2. T

    Balozi Juma Mwapachu ajivua uanachama wa CCM, hajaamua kujiunga na chama kingine

    Ccm mbona haionekani kwenye mabango ya campaign? C hadema-ukawa dhidi ya chama magufuli.wamebaki wakiwa baba yao katoweka.
  3. T

    Video: Wabunge wa CCM wakiimba Pambio la kumuaga Lowasa

    Lo!wanaona Ainu! Wameua nyani.
  4. T

    Watoto wa vigogo waiteka UVCCM!

    Kumbuka kwamba fedha zilizofisadiwa za walipa kodi ndizo zilizotumika kuhonga ili kupata nafasi hizo. Si jambo la kujivunia na kuwakejeli maskini mliyowahonga wanaoishi chini ya $2 kwa siku.Jeuri na kiburi huponza.
  5. T

    MH Joseph Mbilinyi Message from facebook.....

    Msisahau ya kule Mbeya mlipompigia sugu magoti ili azime majeshi ya wanamapinduzi vijana. Police waligwaya,FFU waligwaya, JWT wakawasaliti,JKT wakabaki kuranda mitaani bila mwelekeo. Hapo ndipo mlipojuwa yupo mwanaume aitwae Sugu.Siku hiyo Police walijisahau wakampigia saluti, nakumbuka jinsi...
  6. T

    Mahojiano ya Mchungaji Mtikila (Kiingereza)

    Naanza kuwa na mashaka na uelewa wa wana jamii Forum wengine humu. Mtikila alizaliwa 1952 lakini cha ajabu mwaka 1967 tayari anatiwa misukosuko ya kisiasa.Tayari anao welewa kuhusu siasa ya ujamaa na Azimio la Arusha kwa ujumla. Anaeleza mambo kiujanjaujanja tu haelezi miaka ya matukio nk. Kwa...
  7. T

    Someni taarifa ya Bernard Kamilius Membe

    Ubabaishaji wa hali ya juu!Kwa nini usimuulize waziri mwenzako wa nchi ya Zanzibar? AG ametueleza ni nchi au siyo!Waziri wa uchukuzi na mawasiliano wa nchi hiyo amesema jambo kuhusu hilo. Kuna laana gani imewapata. Watu waliopewa mamlaka makubwa ya kuamua mambo ya nchi yetu wamegeuka...
  8. T

    Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

    Kumbe Savimbi ni mkombozi!!ciavimbi,mkombozi.Mwl aliwahi kumfukuza waziri mmoja aliyewaambia wazee wa kigogo waliokuwa wanatafuta usafiri kwenda kwao Dodoma "Go to hell" Hivi unamjuwa waziri huyo? Kama humjui nakuambia wewe "Go to hell" Je Augustino Neto alikuwa nani? Debe shinda haliachi kutika.
  9. T

    Hatua za haraka zinahitajika, Wafuatao wameihujumu CCM

    Laana ya Mwalimu JKNyerere itawatafuna hadi kifo.Je sasa mmeamini Vincent Nyerere nifamilia ya Mwlm? Kama baba yake amewanyoa nywele za kisogoni, zinauma mno. Mkapa ulimpiga Vincent kofi la jichoni ukamuuliza unaona? Amekutwanga kofi la sikioni je Mkapa umesikia?
  10. T

    Vicent amlipua Tendwa, Mkapa aomba suluhu

    Binti mkongwe hana maana humu ila kuchafua maada. Mzandiki fulani anayetumiwa. Au ni walewale waliohusika na kitendo hiki kibaya dhidi ya JKN-Baba wa Taifa? Anadhani vijana hawajui kitu, mbona wanajuwa habari za uhuru wa Tanganyika/ Iwe habari ya juzijuzi? Kama BWM sasa umekubali kwamba Vincent...
  11. T

    CCM: Tujisahihishe au Tugawane Chama

    Nashuhudia mkiweweseka.Leo ndio mnamkumbuka Mwl, tena kwa njia ya kuweweseka kiasi hicho!! Poleni maana kumekucha nanyi bado mko kwenye lepe la usingizi.Watanzania, wamewaacha kama mwanamke mzinzi, mmejaa soni. Mmebaki kuwashikia na kuwaelekezea mitutu ya bunduki na mabomu ya machozi.Hata...
  12. T

    CCM: Tujisahihishe au Tugawane Chama

    Nashuhudia mkiweweseka.Leo ndio mnamkumbuka Mwl, tena kwa njia ya kuweweseka kiasi hicho!! Poleni maana kumekucha nanyi bado mko kwenye lepe la usingizi.Watanzania, wamewaacha kama mwanamke mzinzi, mmejaa soni. Mmebaki kuwashikia na kuwaelekezea mitutu ya bunduki na mabomu ya machozi.Hata...
  13. T

    Hii ni mbaya na hatari kwa mustakabali wa nchi yetu

    CCM kwa ulevi tu wa madaraka inafanya hujuma ikiamini haitangoka madarakani.Lakini siasa za wakati huu ni za vijana. Na vijana hawawataki hata kuwasikia.Nawatahadharisha msijidanganye katu.Mtangolewa tena vibaya maana mtakuwa ni maadui badala ya wananchi wenzao vijana hao.Kwa nini hamuoni? Mna...
  14. T

    Mkataba mwingine wa kijinga: Liganga na mchuchuma

    Kama mnaweza kuhongwa suti 5.Kila kitu kinawezekana ktk nchi hii.Mikataba ya mababu zetu bado inaendelea kuingiwa.Waliosaini mkataba huu ni walewale walioisaini yote mibovu.Sijawasikia wakitubu dhambi hiyo wala kujutia jambo hilo.Ni kitu gani kinawafanya muamini kuwa huu mkataba ni bora? Unaweza...
  15. T

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Maskini mwanakijiji! Maskini mwanakijiji!! Kumbe kweli moto huzaa majivu.Moto wako wa kuchambua issues umekwenda wapi?Mbona sasa umepotea kinachotoka ni majivu tupu tena hata joto hamna. Maskini, kumbe kisu kimegusa mfupa!We should be objective in order to tacle this evil malaise.Mimi...
  16. T

    Zaidi ya Suti: WikiLeaks yafunua mgongano kati ya JK, Kapuya na Gen. Waitara...

    Bravo Mwita Waitara.Je Mwamunyange anaweza akatueleza zaidi maana Wamarekani waliamua kumtumia kama Kapuya anavyo eleza?
  17. T

    Hotuba ya Rais ya Kikwete kwenye baraza la Idd-Mawazo yangu

    Waislamu, Wakristo kila mara.Mjadala gani huu.Mantiki yake nini? Ni udini unaowasukuma kujadili hoja za kidini hapa.Nyote ni aibu ya Taifa hili.Ndugu zetu Waislamu na ndugu zetu Wakristo, pamoja na ndugu zetu wa dini nyingine,na wapagani pia ni watu wa Taifa hili. Wamoja.Tuna interest zetu...
  18. T

    Kabwe, Kafulila, Kitila, Ben ni Mtandao wa sasa kama wa EL, JK, AC, RA 1995-2005??

    Nyinyi vijana, nawauliza tena,'migogoro ya CDM ya nini humu?' Au nanyi mnalipwa na upande wa pili? Cann't you see you are putting off a lot of would be admirers of CDM through your bickering in this forum of great thinkers? Sort out your party businness in a more camaradie attitude. Wako watu...
  19. T

    Kabwe, Kafulila, Kitila, Ben ni Mtandao wa sasa kama wa EL, JK, AC, RA 1995-2005??

    Ngoma ya vijana haikeshi.Mpumbavu akinyamaza ni hekima tosha.Kama nyinyi ni CDM hamfai hata ujumbe wa nyumba kumi. Lakini huenda ni ccm magamba wanalenga kuivuruga JF. Tuwabeze. Kwa hali yoyote Post hii haisaidii kitu humu ila nia ya kuuvuruga mtandao wa CDM humu JF. Great thinkers, just ignore...
  20. T

    Zitto Kabwe, Kikwete na Rais wa Sudani ya Kusini

    Kuongozana na Zitto, tena mmojawapo wa viongozi wa kambi ya upinzani si tatizo. Tatizo na tabia ya UDINI aliyo nayo JK. Theorize hivi, mwaka 2015 kama anataka mdini wa dini yake atasema kama ilivyowahi kuandikwa. Safari hii ni zamu ya wenzetu wanawake, akimlenga Anna Rose Migiro, au atasema...
Back
Top Bottom