Search results

  1. R

    Ray C amtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar, amshukuru kwa msaada wa matibabu!

    tumuombee asirudie tena ktk madawa kwani ni hatari pia tumpongeze mh rais kwa kumsaidia ray c ushauri ajiepushe na wote wabaya waliompelekea yy kuwa hvyo pia ni muda ambao sas atakuwa amejua nani aliye rafki mzuri kwak na mnafki kwake
  2. R

    Mmejitahidi sana sana kumtetea BABU (Dr. Slaa), lakini...

    yes kama dr bdo yuko na mzigo bora uurudishe tu ili yaishe
  3. R

    hii ni picha au filamu?

    ndiyo maana huwa wanavuavua nguo ovyo jukwaani dogo limbukeni
  4. R

    Wifi Zangu Mna Mambo......Kida Wazeer

    katikati ya hao marehemu wawili huyo mwenye shati nyeupe na huyo mwenye nguo ya blue
  5. R

    Huyu naye kafuata nini huku?

    hyo ni kazi ya jeshi la polisi na huyo binti yupo timamu kabisa kwakuwa amefanya mafunzo na anaelewa jinsi kudhibit fujo akiwa kama WP
  6. R

    RPC wa Mwanza ACP Liberatus Barlow auawa na wanaodaiwa ni majambazi!

    hapana haipaswi kufurahia kwa kuwa kila binadamu ana haki ya kuishi ni jambo la kuckitisha tumuombee apumzike kwa amani ingawa juzi yy alimtetea police wake wakat akikaribia kutoa uhai wa mtu yy alidhani ni wengine tu ndyo wanahaki kuondolewa uhai wao waishi milele lakin pamoja na hayo tumuombee...
  7. R

    Afisa uhamiaji Mwanza anusurika kuuawa kwa risasi na polisi

    huo ni ukorofi ingekuwaje kamanda wa uhamiaji na yy angekuwa na silaha then akapamban naye akcema ni amehc ni majambazi kwakuwa hapo wote ni dola police muache hzo wote ccp moja
  8. R

    We ulisoma hiki kitabu?

    c mchezo hyo mwaka 90 la tatu ndani ya changombe pr wakina mwl mbaga,mwl mussa,c mchezo kitambo sana hyo enzi hzo class wakina adolph atanasi,fredy tarimo sosthenes nstanslaus,chacha mofa,mbobo,haaa...haaaa na wengine wengi
  9. R

    Kambi ya Lowassa Inapumulia Mashine ndani ya CCM, Ndoto za Urais zazidi kuota mbawa

    ni kweli ya ngoswe muachie ngoswe mwenyewe
  10. R

    Chadema wachapana makonde Mwanza

    kila habari inayohucu magamba ni ya kishabiki tuwe waelewa huo ni uhuru wa vyombo vya habari la mcingi ni kuichambua habari yenyewe badala ya kuikanusha
  11. R

    Vita ya Ubunge CCM 2015 yaanza; Pindi Chana adaiwa kumvaa Filikunjombe

    ni mwanamke lakini shupvu afaaye kiuongozi
  12. R

    Nitakavyomkumbuka JK

    yaezekana akawa na mapungufu kama wengine ya kibinadamu lakin yapo mazuri aliyofanya c kwamba ni mabaya tu co anastahli pongezi pale alipopatia
  13. R

    nashukuru ameanza kuzoezoea sasa

    huyo ni nani mkuu?
  14. R

    FFU anapo kuwa mzembe kazini

    ndyo mambo ya field hayo mkuu wengine mabomu yanatoka na kuuwa watu
  15. R

    A Coward American Soldier

    kurudi nyuma cyo ishara ya uoga bali ni kujipanga mkuu hayo ndyo mambo ukiwa ktk medani za kivita
  16. R

    Ndumba Mchana Kweupeeeee Mweee

    anastaili kuombewa huyo maana hakika anatia huruma
  17. R

    Mbinga Community Bank (MCB) joined Umoja Switch’s ATM services

    hyo safi sana imetulia hayo ndiyo maendeleo muda wowote mtu unabofya unavuta mpunga cyo kumcubiri mbiku aje akupe hela dirishan.vp taratibu za kupata master card?
  18. R

    Nimeamua kuwa wazi, siogopi polisi wala CCM na serikali yake

    hyo ngumu sana bado mazee jipange kivingine pengine tutatoka zpo njia nyingi tu zakupinga hii mambo lakin c lazima watu wajivishe mabomu na kutenda uyawazayo ma friend sangana
  19. R

    Kipaji kutoka moyoni

    hamna huyo wa ukweli anakomaa na game uzuri ni kwamba hashindwin
  20. R

    Sensa 2012: Yanayojiri

    hakika c unajua zitiini mamalaka halali na cc hatuna budi kuitii serikali
Back
Top Bottom