Search results

  1. B

    Magufuli akacha Mahojiano ya BBC

    No vizuri Kama amekimbia mapema kuliko kujitia aibu. Ila mahonia onside yanakuwa kwa Kiswahili?
  2. B

    Msaada: Mwanangu kapima vipimo vyote hana tatizo lakini bado anaumwa

    Pole Sanga. Kwa Kifura unaweza Puka ukampa yai bichi ulichanganye na asali Nouri zaidi Kama utapata yai la kienyeji. Mimi Wangfujing alisumbua kiasi Mikapangaro kupewa Trevo Kama umewHi kuisikia au Kama bado mpigie huyu dada atakuelewesha zaidi 0714666221
  3. B

    Nisaidie wanawake wenzangu na nyie wanaume zenu wapo kama huyu wangu?

    Grace mi mwenzako niliamuaga kuwa napotezea, alikuwa hadi anaapa Mungu amchukue baba au mama yake then anageuza kibao anapoa siku mbili wiki then anarudia kilekile nikasema kama alishindwa na wazazi wake mi ntamuweza cha muhimu nikaanza kuvizarau na kumuombea Mungu, alichokipata Mungu ndo anajua...
  4. B

    Ushauri: Kaolewa na mwanaume lakini yupo mbali

    Alipo kubali hakujua? Aache utoto
  5. B

    Pamoja na Mvua kubwa, ACT yafanya Mkutano Njombe (PICHA)

    Hongereni wazalendo. Mradi tu uwe uzalendo wa vitendo
  6. B

    TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    Ha ha ha duh
  7. B

    TANZIA Captain John Komba afariki Dunia

    If its true may He rest in peace
  8. B

    Yamenikuta: Mchumba wangu amezaa angali bikra

    Duh hii kweli kali yakufungia mwaka
  9. B

    Andrew Chenge: Toka Ufisadi hadi Uandishi wa Katiba ya nchi

    Nilijiuliza kitu nikasema walikubali pendekezo kwakuwa wamechoka? Ikawa funika kombe mwaharamu apite? Au ndo ilikuwa mwisho wao wa kufikiri?
  10. B

    Andrew Chenge: Toka Ufisadi hadi Uandishi wa Katiba ya nchi

    Kwakweli wale waliosema watoto wetu watakuja kufukua makaburi wapime akili za viongozi hili litatokea.
  11. B

    Mbona Hawaazimii Lolote Kuhusiana na "Mlango"? Wabongo Tunapenda Mno Drama

    Kwakweli inasikitisha sana. Tuombe Mungu labda this time mlango utrudishiwa maana wa kufunga mpaka sasa sababu anayo ila nia, nguvu na udhubutu hana
  12. B

    Kifo cha CCM kimetimia

    Mfa maji haishi kutapa. Watachemsha mtu
  13. B

    Kituo cha Polisi ''Kizuri sijapata kuona''Miaka 50 ya uhuru.

    Kwa kweli inasikitisha sana, kuinama maswala ya muhimu hayapewi kipaumbele. Kweli Tanzania zaidi ya uijuavyo
  14. B

    Wahudumu wa NMB acheni dharau, kumiliki smartphone isiwe kero

    Huyo masanao hayupo tena NMB nasikitika
  15. B

    Mwanamke amuua Chui baada ya kupigana nae kwa muda wa nusu saa

    Kungekuwa kuna kujaribu tungekupeleka wewe up ambiance na huyo chui, mana usije kuwa wasema hayo Wakati ndo wale ndani kuna Panya unatoka nduki
  16. B

    Yuko wapi Dr. Stephen Ulimboka?

    Better a play low profile maana hii nchi haieleweki.
  17. B

    Maskini mke wangu kumbe ulitoa mimba? Kwanini sasa hukunambia nifanye maamuzi?

    Mwanaume mwenye busara hata siku moja haruhusu ujinga wa mtu kutoka na kuanza kumsema mkewe, ndo na iheshimiwe na Watu wote. Baada ya kumuanika mkeo ungekaa chini umwambie. Unajiharibia ndoa yako bure kisa kidudu mtu sasa tangu uanze kulewa na kuchelewa kurudi imesaidia nini? Sana sana unajitesa...
  18. B

    JK kuwaleta usher na trey songz Tanganyika

    Kashindwa kushughulikia Panya road na Mbwa mwitu, mh kweli Tanzania zaidi ya uijuavyo
Back
Top Bottom