Search results

  1. Trueboy

    Njia rahisi ya kuhamia Australia na Spain

    Habari wana jamvi , imekua ndoto yangu ya muda mrefu kutaka kusogea mbele kidogo na kubadilisha upepo wa bongo kutokana na factors nyingi tu ikiwemo ugumu wa maisha pamoja na uvunjifu wa demokrasia nk. Nashukuru Mungu nimeweza kupiga hatua moja na kutua nchi mojawapo Asia kimasomo ila sitamani...
  2. Trueboy

    Offer! Offer! Offer! Vitanda vya chuma bei poa!!

    Unapohitaji kitanda imara cha chuma basi tucheki autoguru workshop. Sisi ndio Magwiji wenye proven records ya ufundi wa vitanda hapa Tanzania. Tunakutengenezea vitanda imara vya chuma kwa ajili yako.Bei 300,000/= tu. Tunatengeza kwa kutumia vyuma vipana na imara. Wahi ofa kabla haijaisha...
  3. Trueboy

    Ajira ya muda kwa waliosoma shahada ya jinsia na maendeleo!

    Wadau naomba kufahamishwa na m2 yeyote kama ana taarifa yoyote kuhusiana na kazi ya muda inayohusiana na shahada ya jinsia na maendeleo (Bachelor Degree In Gender and Developnment) naomba anijulishe hasa kwa nafasi zinazopatikana Dar-es-salaam Ahsanteni!
Back
Top Bottom