Search results

  1. A

    Membe Ubalozi karibia utafungwa kule Brussels

    Mimi ni mtu wa Ottawa, hapa ubalozi wetu umegeuks kuwa wa nyumba kumikumi tu, Sijui huyu Mheshimiwa Kallaghe anafanya Nini. Haishi kwenye nyumba nza watu yeye na mke wake. Mama Balozi anacomment et hakuna mwanamke wa Kitanzania mzuri kama yeye na anayevaa kama yeye. Sisi hatumfahamu kwa undani...
  2. A

    Mkapa above the law?: Allegations

    SIMPLE THIS MAN IS AN ARROGANT MAN, FISADI NO MATTER WHAT HIS PUPPETS ARE SAYING THIS WILL NOT CHANGE THE FACT THAT HE IS THE MOST CORRUPT LEADER IN THE HISTORY OF TANZANIA. jAMANI SIMPENDI KABISA YEYE NA M ..............................
  3. A

    Mtoto wa nje ya ndoa

    Mama pole sana kwani napenda kukutia moyo uwe tu mkweli kwa mumeo. Mimi haya yalikuta miaka 18 iliyopita baada ya mamsapu wangu kufanya tendo kama lako na akazaa mtoto ambaye kwa kweli ni kijana mzuri sana na mwenye akili sana> Nimemsomesha na hata sasa yuko USA kwenye chuo kikuu huko. Hili...
  4. A

    Nimrod Mkono na Mkono Advocates watch

    Here We Go Again .......!!!!!!! Mkono Tunomba Ujisafishe Kwanza Alafu Ndipo Uzungumze Kuhusu Ufisadi Unaoujua Wewe. Huyu Bwana Ni Mlaliaji Mkubwa Huwa Anavuna Bila Kupanda Kwa Sababu Anajua Kulonga. Ama Kweli Wengine Hatuna Aibu.
  5. A

    Mkapa above the law?: Allegations

    Huyu Mkapa Anajua Kuwa Hasingiziwi Bali Ni Mwizi To .......
  6. A

    Mkapa above the law?: Allegations

    Huyu Mama Simba Naye Ni Fisadi Hajui Anachokizungumza, Hii Inaonyesha Jinsi Serikali Ya Kikwete Ilivyojaa Vipofu Na Majambazi, Kwa Sababu Lazima Wateteane. Anapaswa Aombe Msamaha Kwa Watanzania Wote.
  7. A

    Mkapa above the law?: Allegations

    JAMANI BENJAMEN WILLIAM MKAPA SI FISADI BALI NI MWIZI MWIZI , angekuwa anakumbuka ya huko nyuma na watu ambao amewatapeli akiwa madarakani kwa mabavu yake asingedhubutu kuzungumza huo UOZO aliozungumza juzi. ASOTUKEJELI KWANI APENDE ASIPENDA LAZIMA ATAFIKISHWA MAHAKAMAI NA KUIONA AIBU...
  8. A

    ATCL: Another Richmond!

    Ningeseme kuwa Bwana David Mataka afanyiwe uchunguzi kwani huyu bwana sio mfanyi biashara mzoefu ila ni mtu anayejua kushawishi sana watu. Pia ni menda sifa........
  9. A

    His Excellency the ’fisadi’

    Nakubaliana Na Wewe Mkuu, Mwizi Ni Mwizi Tu Hakuna Jina Lingine La Kuwapa, Hata Jina " Fisadi " Naona Ni La Kiungwana. Hawa Akina Benjamin Mkapa Na Kundi Lake Wangefaa Wapewe Jina Halisi Ni "mwizi" Wakumbuke Sana Yanayomkuta Chiluba Wa Zambia, Walimwita Ni Mwizi Wa Rasilimali Za Taifa La...
  10. A

    Mkapa above the law?: Allegations

    Jamani Just To The Least, Huyu Mkapa Ni Mtu Mwenye Dharau Sana Kwa Watanzania, Kinachoshangaza Ni Kwamba Yeye Marafiki Zake Wana Akina Yona, Basil Mramba, Ruhunda, Waletr Bgoya Na Wengine Wengi Wanafikiri Kuwa They Own This Country. They Even Have Guts To This They Cannot Face The Mighty Arm Of...
  11. A

    ATCL: Another Richmond!

    Mimi nasema ni kichaa kapewa rungu sokoni, sababu Mattaka anajulikana mitaani kuwa ni tapeli, Fisadi na mzinzi mkubwa, inasemekana kuwa alifanya vizuri PPF lakini ikumbukwe kuwa PPF ilikuwa kama bima tu , mashirika yaliweka akiba za baadaye za wafanya kazi wake, haikuwa biashara yenye competion...
  12. A

    Kikwete; Spare the back benchers!

    Hawa watu akina Zitto, Mwakyebe Dr.Slaa tunawahitaji sana maana bado kuna hii ngoma nzito ya KIWIRA inayomkabili huyu fisadi maarufu MKAPA BEN ambaye alishasema yeye hababaishi na mtu. Wakati umefika wakumwosha kuwa Tanzania ni mali ya watanzania wala sio ya walio wachache tu.Mkapa alisahau...
Back
Top Bottom