Search results

  1. kapingili

    Kitanzi cha mwisho

    Poa mzeiyah Sent using Jamii Forums mobile app
  2. kapingili

    Riwaya: Bondia

    BONDIA - 5 Simulizi : Bondia Sehemu Ya Tano (5) *** Kapten Deusdelity Macha aliteremka kutoka kwenye gari la jeshi na kutembea kiaskari kuuelekea mlango wa nyumba yake. Upande wa pili wa barabara, Roman alijiinua kutoka kwenye benchi alililokuwa amekalia lililokuwa mbele ya kibanda cha...
  3. kapingili

    Riwaya: Bondia

    Simulizi : Bondia Sehemu Ya Tatu (3) Baada ya lile pambano lake na mzungu kutoka Hungary, Macha alipambana na bondia kutoka Afrika ya Kusini mjini Johannesburg, ambako alimtawanya taya msauzi huyo na kuondoka mshindi. Sifa za bondia “Deus-deadly” Macha sasa zilikuwa zimeenea duniani kote, na...
  4. kapingili

    Riwaya: Bondia

    sawa Sent using Jamii Forums mobile app
  5. kapingili

    Riwaya: Bondia

    Simulizi : Bondia Sehemu Ya Tatu (3) Baada ya lile pambano lake na mzungu kutoka Hungary, Macha alipambana na bondia kutoka Afrika ya Kusini mjini Johannesburg, ambako alimtawanya taya msauzi huyo na kuondoka mshindi. Sifa za bondia “Deus-deadly” Macha sasa zilikuwa zimeenea duniani kote, na...
  6. kapingili

    Tunapoelekea mwaka mpya 2020 Tunaombwa kuwa makini

    TAHADHARI Tunapoelekea mwaka mpya 2020 Tunaombwa kuwa makini tusije kosea kuandika 20 ya Mwisho ukaweka Mwanzoni na 20 ya mwanzo ukaweka mwisho. Mfano: Mtu badala ya kuandika 2020 akaandika 2020. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. kapingili

    Riwaya: Bondia

    Kwani nmesema uchangie ili nifaidike mm? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. kapingili

    Kitanzi cha mwisho

    Simulizi : Kitanzi Cha Mwisho Sehemu Ya Tano (5) GODFREY KYOMUKAMA, lilikuwa ni jina lililotangulia pale katika ule ujumbe kisha ikafuatia anuani yenye namba tano 16841- 5576 ikamalizia na jina la KAMPALA, Kamanda Amata akaelewa ujanja wa marehemu Kajiba, kwa kuwa alijua kuwa atakufa hivyo...
  9. kapingili

    Kitanzi cha mwisho

    https://chat.whatsapp.com/EFnj7JXq5DyIiDcjOPOWqE Sent using Jamii Forums mobile app
  10. kapingili

    Kitanzi cha mwisho

    Karibu katika group la wasap ufurahie zaidi kaka https://chat.whatsapp.com/EFnj7JXq5DyIiDcjOPOWqE Sent using Jamii Forums mobile app
  11. kapingili

    Kitanzi cha mwisho

    Ahsante kaka Sent using Jamii Forums mobile app
  12. kapingili

    Riwaya: Bondia

    IMEANDIKWA NA : HUSSEIN ISSA TUWA ********************************************************************************* Simulizi : Bondia Sehemu Ya Kwanza (1) Lango kuu la gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam lilifunguliwa na mtu mmoja mrefu alitoka nje ya lango lile kwa hatua za kujiamini na...
  13. kapingili

    Kitanzi cha mwisho

    Simulizi : Kitanzi Cha Mwisho Sehemu Ya Nne (4) Kwa kutumia ngazi za nje, Kamanda Amata alimshika mkono Yaumi na kuteremka nae kwa haraka. Alipofika mwishoni tu, ilikuwa ni kitendo bila kuchelewa, Land Cruiser Prado ilikuwa imesimama mbele yake, vyoo vyeusi, kwenye usukani kulikuwa na...
  14. kapingili

    Kitanzi cha mwisho

    niko Dada Sent using Jamii Forums mobile app
  15. kapingili

    Kizuizi sehemu ya kwanza

    Wasap Group https://chat.whatsapp.com/EFnj7JXq5DyIiDcjOPOWqE Sent using Jamii Forums mobile app
  16. kapingili

    Kizuizi sehemu ya kwanza

    SAMAHANINI NLIRUKA YA 4 Sent using Jamii Forums mobile app
  17. kapingili

    Kizuizi sehemu ya kwanza

    Simulizi : Kizuizi Sehemu Ya Nne (4) “Nitayalia pesa haya mabwege mpaka yakome” alisema kwa sauti ya chini huku akigida soda kidogo iliyosalia katika chupa. Mtihani wake wa kutaka kugundua iwapo kweli yule ni James ama la ukawa umefanikiwa. Akajiona mtu mwenye bahati kupita wote duniani...
  18. kapingili

    Kitanzi cha mwisho

    Simulizi : Kitanzi Cha Mwisho Sehemu Ya Tatu (3) Ni pale walipofika eneo la Vingunguti na kukuta lundo la watu, magari yalikuwa foleni, kamanda Amata akashindwa kujua kunani eneo hilo, kati ya vijana waliokuwa wakipitapita mmoja aliitwa na Kamanda Amata akasogea dirishani, “Vipi dogo kuna nini...
  19. kapingili

    Kitanzi cha mwisho

    Kila xku naeka best Sent using Jamii Forums mobile app
  20. kapingili

    Kitanzi cha mwisho

    Simulizi : Kitanzi Cha Mwisho Sehemu Ya Pili (2) BUGURUNI kwa Mwinyi Amani, au kwa mnyamani kama walivyozoea kupaita wakaazi wengi wa Dar es salaam, barabara zake zilijaa tope hasa ile ya kutokea Kiembe Mbuzi, watu walikuwa wakijaribu kuruka matope hapa na pale huku wenye magari nao wakipita...
Back
Top Bottom