Search results

  1. Bodyguard

    Wanahitajika Walinzi wachache

    Ni hekima na busara issue kama hiyo iongelewe in Private PM
  2. Bodyguard

    Wanahitajika Walinzi wachache

    Dar Es Salaam
  3. Bodyguard

    Wanahitajika Walinzi wachache

    Mshahara ni maelewano na inategemea na Lindo lipi utapangiwa. Bunduki: Siwezi kuliongelea hapa.
  4. Bodyguard

    Wanahitajika Walinzi wachache

    Wanahitajika Walinzi wachache wenye sifa zifuatazo: 1. Jinsia: Kiume na Kike 2. Umri: Miaka kati ya 20 na 35 3. Elimu: Kuanzia Form IV na Kuendelea: 4. Lugha: Kiingereza na Kiswahili 5. Tabia: Jasiri na mwenye tabia njema na asiye na record yeyote ya uhalifu (Police Clearance Certificate...
  5. Bodyguard

    Infidelity Investigation

    Nitumie message hapa JF ambayo ni Private kwenye inbox yangu
  6. Bodyguard

    Infidelity Investigation

    We have attended so many cases . . . . !
  7. Bodyguard

    Nahitaji silaha ya kujilinda ambayo is the best

    Inategemea unaihitaji kwa masaa mangapi na kama unataka ukae nayo au kuazima na kuirudisha. Au pia unaweza kuwa na Mlinzi mwenye silaha
  8. Bodyguard

    Nahitaji silaha ya kujilinda ambayo is the best

    Pia tunaweza kukukodisha silaha, ila utaratibu wake ni mrefu. Ukihitaji kuynunua nena Mzinga Corporation. Budgewt kuanzia TZS 1M.
  9. Bodyguard

    Nahitaji silaha ya kujilinda ambayo is the best

    Mkuu ukihitaji Bodyguard au Security Guard ni PM.
  10. Bodyguard

    Je; Unahitaji Professional Bodyguard Au Detective Agency?

    Salaam sana Je; wewe ni mwanasiasa, mfanyabishara au raia ambaye maisha yako yako au familia yako hatarini? Je, unahitaji Body Guards au Detectives ambao wamepitia mafunzo maalumu? Tunatoa huduma zifuatazo kwa ambao wanafikiri usalama wao uko mashakani na wanahitaji walinzi binafsi na wapambe...
  11. Bodyguard

    Infidelity Investigation

    More success story completed!
  12. Bodyguard

    Infidelity Investigation

    Imekuwaje Kamanda?
  13. Bodyguard

    Infidelity Investigation

    Well written. Kunguru hafugiki.
  14. Bodyguard

    Infidelity Investigation

    Pamoja sana Mkuu!
  15. Bodyguard

    Infidelity Investigation

    The good thing we are Professionals and not Waswahili. So, no noises. Ni kazi tu na evidences as per ToR.
  16. Bodyguard

    Infidelity Investigation

    Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza. Ila pia ukimchunguza sana kuku huwezi kumla. Tumeona mengi. Na hakika umdhaniye siye ndiye. The choice is yours. Sisi tunafanya kazi. Period.
  17. Bodyguard

    Infidelity Investigation

    Ya nini kumwaga mchele hadharani. Umeshaambiwa PM for further details. Umeshaambiwa utapewa taarifa vielelezo vyote vilivyopatikana. Sasa shida ni evidence au siri za kazi?
  18. Bodyguard

    Infidelity Investigation

    Karibu sana Fanta Face
  19. Bodyguard

    Infidelity Investigation

    Well written! Not recommended lakini kama unaona hakuna jinsi karibu. Moja ya masharti magumu ni kuwa hatuko hapa kuvunja mahusiano bali kujenga. So you must agree kuwa ukiujua ukweli, you are in for reconciliation and not separation.
  20. Bodyguard

    Infidelity Investigation

    Latest Technology for surveillance and investigation!
Back
Top Bottom