Nakubaliana na Raisi mstaafu Mkapa kuwa viongozi na wananchi wa Mtwara na viongozi wa serikali wakae meza moja wazungumze.Huu kwa ujumla ni ushauri mzuri lakini tatizo hapa ni viongozi kuwa na majibu rahisi na ya kebehi kwa wananchi wakiongozwa na waziri wa nishati na madini.Kinachotakiwa ni...
Naungana kwa dhati kabisa kauli ya raisi mstaafu Mkapa kwa upande mmoja serikali na wananchi kukaa meza moja kulitafutia ufumbuzi swala hili la gesi.
Wananchi wa mtwara wana hoja ya msingi ya kujibiwa na serikali,sio majibu ya dharau,kebehi na kibri kuhusu hoja hii.Serikali isitumie ubabe hata...
Kwa kweli serikali inatakiwa iangalie hili swala kwa jicho la tatu,sio kwa majibu ya kibri na dharau ya viongozi wetu,ile ni mali ya wananchi lazima wasikilizwe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.