Search results

  1. Gwangambo

    BONGE LA DEMU.... Anatafuta Mchumba jamani.....!

    Gharama zote kwake.... KARIBUNI wajameni cc. mshana jr.
  2. Gwangambo

    Hika ndio kakifaa alikokashangaa Prof JK....!!

    Siku akielezea jinsi alivyofanyiwa upasuajia alishangaa kuona anashonwa na kifaa kama stapler. Kanaitwa AUTOSUTURE. Hata mimi ninako, mwenye matatizo ya Tezi dume ani-pm. Bei nafuu kuliko kule John Hopkins.
  3. Gwangambo

    PICHA: Bonge la TOTOZ, chekishia mwenyewe........!

    Najua mafisi yenye uroho yamekimbia kufungua thread hii fasta. Haya rudini kwenye escrow yenu BYE.:focus:
  4. Gwangambo

    Nilichokipenda TAMASHA la Dodoma jana......TANZANIA NAIAMINIA!

    Mukulu ni kama vile alikuwa ametoka CHAKO NI CHAKO, nilimuona akitoa nyama iliyonasa kwenye meno kwa ukucha wa kidole. May take. Wasaidizi wake muwe mnampa mukulu toothpick. TANZANIA NAIAMINIA!
  5. Gwangambo

    Jeshi la Polisi- Sikio la kufa halisikii Dawa!!!!!!!!

    Ikiwa ni siku moja tu tangu vigogo wa polisi walipobainika kuwa na madudu, Jana nilipokuwa nikisafiri toka Babati kuelekea Arusha, baada ya kufika eneo liitwalo Magugu, Gari nililikuwemo (MTEI EXPRESS) lifanyalo safari zake kati ya Babati na Arusha lilisimamishwa na Traffic Police, basi hilo...
  6. Gwangambo

    Jamii Forum, Hakunaga..!

    Hodi wanaJF, tangu limetokea tukio baya la kutekwa na kupigwa vibaya Dr. Ulimboka, I found myself deep in love with JF Updates and JF Members contributions. Big up sana, together we stand. THANKS for accepting my Registration.
Back
Top Bottom