Search results

  1. N

    Nimetandikwa kofi la uso

    Umejitakia, ni kwanini hamkupeana migongo?
  2. N

    Wazo langu: Hivi haiwezekani CHADEMA ikafanya mkutano wa hadhara kwa amani?

    Mndengeleko, Sensa haizuii kazi na shughuli nyingine za kimaendeleo kuendelea. Ndio maana chaguzi ndni ya CCm zinaendelea katika kipindi hiki cha sensa. Acha unazi
  3. N

    Mwigulu amvisha mbwa bendera ya CHADEMA

    Tunatakiwa kipima elimu ya mtu kwa yale anayoyafanya na kuongea, maana hizi alama tunazozipata kwenye mitihani na vyeti!!!!?
  4. N

    Wabunge waridhia ongezeko la gharama za mawasiliano ya simu!

    Tusubiri tuone maigizo haya yatatupeleka wapi. Wameshusha bei ya nguzo na kuunganishiwa umeme wakasahau tatizo si kuunganishiwa tu, hata bei ya umeme wenyewe.
  5. N

    Wabunge waridhia ongezeko la gharama za mawasiliano ya simu!

    Hivi hawa watu wanafikiria Kuongeza Kodi kwa mtumiaji wa simu ili tuende sawa na kenya na Uganda? Mimi nafikiri tungeanza kwa kuboresha kwanza maisha ya mtanzania ili yaendane na maisha ya Wana afrika Mashariki wengine kwanza. Ili basi tulingane kwa kila kitu. Hivi hii jeuri ya kukaidi na kuhisi...
  6. N

    Habari zenu wana JF

    Samahani kwa kuingia na kukaa kimya bila kujitambulisha kwa wenyeji wangu. Hiyo haimaanishi kuwa sikuona umuhimu la hasha. Habari zenu wana JF.
  7. N

    Picha ya Joshua Mulundi, Yule aliyemteka Dr Ulimboka

    Kama ni kweli Joshua Mulundi alifanikiwa kuingia nchini na kisha yeye na wenzake wakafanikiwa kufanya unyama walio ufanya kwa Dr. Ulimboka wakitumia siraha za kivita basi jeshi letu la Polisi na Usalama wa taifa hawana wanachofanya. Kwangu mimi ni kama sanaa tu.
Back
Top Bottom