Kama wanaruhusiwa waende huko! Walijifanya kufuata mkumbo kwa kuiga ... kwa tembo, sasa wamepasuka msamba, walipogoma walikuwa wengi sasa kila mmoja atalia kivyake maana hakuna tena "sisi' imegeuka "mie" kila mtu na barua yake ya kufutiwa.
Mi naona ni sawa, ila ili haki itendeke, si intern tu...
Acheni kuutukuza Uzungu na kuukataa Utaifa! Nani kasema wanaojua kingereza ndo wenye uwezo wa kutoa hoja? Kiingereza ni lugha km Kimasai, Kichagga, Makonde, Makua, wala hakina uhusiano na kutoa hoja zenye kujenga. Wacha wajunafasi na Kiswahili ila tu waongee hoja za maana na siyo kujali maslahi...
Ukweli unauma, wakati umefika kwa watanzania kuchambua jambo kabla ya kufika kuamua na kutenda, swala siyo kuchanga, swala is to critically analyze the issue, break it into its simplest elements such that kila mtu anaelewa, ndipo achukue uamuzi. Kama umefanya matatizo ya Dr. Ulimboka mtaji...
Jamani, tusichanganyie kwenda shule na kuelimika. Si wote walioenda shule wameelimika na siyo si wote wasiokwenda shule hawajaelimika. Kinachomfaya mtu aendelee ni kubadilika kwa fikra na mitazamo yake katika kutambua fursa za kujiletea maendeleo. Mfumo wa elimu yetu unamjenga mtu zaidi katika...
Jamani kutoa ni moyo, ila hekima na busara vinatumika kabla ya kuamua kutoa ama kutotoa. Ni kweli Dr. Ulimboka anahitaji msaada, sasa:
1. How can we justify that kweli anahitaji msaada wa pesa tu na wala si dua, sala na maombi, faraja nk?
2. Kuna uhakika gani kuwa number na account zilizotolewa...
Naona hajaonya, ila ametoa mapendekezo kama mtanzania mwenye haki ya kusilizwa. Kama ni onyo, lingeambatana na hatua zitakazochuliwa kwa wafanyabiashara kuupuza ama kukaidi, na lingeandikwa kwenye national gazette na kupewa hati ya kisheria.
Ni bora kuelewa kuwa serikali iliporuhusu soko...
Saaaafiiii!
Hakuna aliyewalazimisha kusoma michepuo ya PBC, CBG, PCM na mingineyo, hayo yalikuwa ni mapenzi yao. Ina maana yawakujua kuwa kazi ya udaktari is risky? Huu ni utani, by virtue of profession, udaktari is risky, udereva, risky, ulinzi risky kufa anytime, polisi, jeshi, kulima ndo...
Naona madaktari wameamua kuonesha kuwa ni muhimu. Nawashauri wasiendelee kugoma, bali wote wajiuzuru na kuarudisha ofisi LIWALO NA LIWE! Kama ni kufa watu weshakufa, na bado tutaendelea kuteseka na kufa, lakini watakaosalia hawatafanya utani na maisha ya watu.
Hakuna cha kuendelea kuogopa wala...
Ni sawa kufukuzwa. Na wengine wanaukaidi wafukuzwe wote! Watu mara nyiingi hofu husababisha kuendelea kuwa watumwa na maskini wa mawazo kwa kuogopa kuchukua hatua hata kama itatugharimu na pengine maisha. Najua kweli athari za kufukuzwa hazitawahusu 'wakubwa' moja kwa moja, lakini, hata hao wana...
Kauli kama hii inatia shaka juu ya uwezo wa wawakilishi wetu bungeni. Nani kamtuma kusema "heri kufa.." Katika kipindi hiki ambacho nchi zilizoendelea zinaungana, Euro, Falme za Kiarabu, USA, na sasa EAC kuelekea kwenye Political Federation ili kuwa na nguvu ya maamuzi kiuchumi, kisiasa...
Sidhani kama kuna mkono wa mtu ama chama ama serikali katika sakata la Dr. Ulimboka. Kilichompata nadhani ni hatua ya wananchi kuonesha uchungu wanaoupata kwa 'kumgawia maumivu' kiongozi anayeogoza watu waliopewa dhamana ya kuangalia afya na uhai wa watu kwa niaba ya aliyewaumba na serikali. Na...
Kufukuzwa madaktari siyo dawa, ila ni funzo. Hakuna haja ya wao kuendelea kuitwa watumishi wa umma wakati hawautumikii umma. 'Fukuza woooteee, kuanza upya si ujinga' Mjomba aliimba. Sifurahii kupigwa Dr. Ulimboka, ila ni funzo kwao na njia ya wananchi kuonesha uchungu wanaoupata kwa mgomo wao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.