Huu muungano wetu kweli ni wa kishenzi. Kama Watanganyika bado wana haja ya kuungana watafute wapuuzi wenzao waungane nao, sisi wazanzibari basi. Tunataka mamlaka kamili sasa.
Ndugu yangu stroke nadhani hujielewi na labda niseme umeishia darasa la saba na ndo maana ukawa na fikkra za kimwehu zilizopitwa na wakati. Sisi wazanzibari tumesoma kabla yenu na tumestaarabika mapema tu. Na usijisumbue, tambua wazanzibari watauvunja tu muungano
We kimox na wenzako msiichukulie zanzibar kama kijiji tu,ngoja maoni yakusanywe ktk mikoa yote ya zanzibar na sio kuchukua maoni ya shehia tatu tu. We vipi! Hebu kuwa mkomavu kisiasa. Acha kukurupuka dogo. Kumbe hata hujui nini muungano wa mkataba!
Maoni yangu uwepo muungano wa mkataba. Kama nyinyi mnataka wa serikali tatu basi haya yafuatayo yahamishwe kutoka bara yapelekwezanzibar:
raisi wa taganyika achaguliwe zanzibar, makao makuu ya ccm yawepo zanzibar, bunge zanzibar,benki kuu zanzibar,wizara zote zanzibar, raisi na waziri mkuu...
Muungano huu ni upuuzi, hauna faida yoyote kwa wazanzibari wala watanganyika ila kuongeza chuki tu katikajamii. Lau kwamba si muungano makanisa yasengechomwa moto zanzibar, na tanganyika na zanzibar zote zengekuwa dola huru. Wenzetu wakenya hawakuungana na yeyote lakini uchumi wao ni mkubwa...
Nadhani kutoa maoni kupitia internet ni kupotezeana muda. Si wazanzibari wanasema wazi wazi wanataka kura ya maoni juu ya mustakbali wa muungano. Mbona mnawapiga mabomu basi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.