Search results

  1. Jerrymsigwa

    Mchango wa Ester Matiko Bungeni na Reaction ya Serikali na kiongozi wa Bunge inaumiza na kusononesha

    Ni askari gani atakuua bila kosa? Hivi askari wangapi wanauawa kwa flag ya ‘wako kazini?’ Na hakuna mbunge anayetetea. Msiangalie upande mmoja, hao watu ni wahalifu hata wewe kama ulidhurka upo umo umo tu. Heshimu sheria bila shuruti hakuna atakayekubaka, kuua etc. Btw kama wamebakwa si...
  2. Jerrymsigwa

    Mchango wa Ester Matiko Bungeni na Reaction ya Serikali na kiongozi wa Bunge inaumiza na kusononesha

    Mostly hao ni wahalifu, porini mtu anatafuta nini? So wakae nje ya hifadhi, nani atawadhuru?
  3. Jerrymsigwa

    Mchango wa Ester Matiko Bungeni na Reaction ya Serikali na kiongozi wa Bunge inaumiza na kusononesha

    Watu waache kuchokoza askari wa watu, bila hao askari kuwepo hizo mbuga zingeisha. Hakuna askari mwenye akili timamu adhuru mtu ambaye si muhalifu. Siasa hizi zitamaliza profession
  4. Jerrymsigwa

    Rasmi: I want to Say Good bye to All JF people

    Who cares hata usingeaga
  5. Jerrymsigwa

    Nimegundua mke wangu naye yupo humu JF

    Mtag tumfahamu kisha tumjue
  6. Jerrymsigwa

    Kanuni 10 muhimu za kukusaidia na kukulinda mwanaume unapochepuka na mke wa mtu

    Wewe nawe ni faller, wote sisi ni marehemu to be
  7. Jerrymsigwa

    Watu wengi wa Kanda ya Ziwa sio wastaarabu wakati wa kula, wanatia kinyaa!

    Mtuache, ndiyo utamaduni wetu; ningekufahamu na dada yetu usingeoa
  8. Jerrymsigwa

    Hatari, nimeongea na Ex-Wangu, nimejisikia vizuri sana

    Pepo la kusambaratisha ndoa limekufikia, achana na kuongea na maekisi
  9. Jerrymsigwa

    WanaJF wa humu wengi ni wabaguzi

    Umepatwa na nini?
Back
Top Bottom